Maadili ya watoto wetu wa kike ni mada ambayo kwa sasa hatuna budi kukazia macho angalia mitaani,mashuleni na vyuoni hali si nzuri kimaadili kwa benti zetu,tusipoangalia tutapoteza kizazi hiki utandawazi umechangia lakini tukaze maadili kuanzia nyumbani