Wazazi mmekuwaje?

Nyie mliofika Chuo mna msemo wenu maarufu "Mimi apa nipate mtoto mmoja tu basi sitaki kuolewa kwakuwa nina uwezo wa kumlea na kulipia bills zangu, Wanaume wenyewe choka mbaya tu hawana jipya"
 
Koo za simba hatuulizwi namna hiyo, unakuta tayari unajijuwa ukimaliza kusoma, tena mara nyingi hawangoji kumaliza kusoma chuo, huku unaendelea kusoma huku unafungishwa ndoa kwenye koo ya kisimba. Sherehe baada ya masomo.

Hakuna cha kuzuwia ndoa kwenye koo za simba, labda umri tu wa kisheria.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…