Wazazi mmekuwaje?

Hapa kunaweza kuwa na mambo mawili

Matarajio na sizitaki mbichi

Maana hakuna mwanamke ambaye hapendi kuolewa au kupata MTU wa kufanya nae maisha.

Mama anataka mtoto aolewe ili apate heshima .

Binti anasema hataki kuolewa Ila ukweli ukiona mwnamke anasema hataki kuolewa ujue amekosa MTU sahihi so kauli hiyo ni defense mechanism au sizitaki mbichi
 
Daktari una hoja
 
Hata walipata kazi hizo kelele za kuolewa wanapigiwa hadi wanazima simu.
Tena ndo nyingi Sana mpaka ndugu Mara utaskia zaa tuu umrii umeendaa tafuta mwanaume uzae Nae unakuta uko kwenye late 20'S alafu MTU anakwambia uzae umri umeenda😞😞
 
Nimekupa hongera sababu kunamtu namuona hapa ana 33 anahaha hatari Kila siku anaomba ushauri wa mwanaume mpya nikagundua ndoa ndio inamchanganya akiambiwa anapendwa tu anavurugwa anawaza huyu ndie au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
huyo ana mtihani, asipoangalia ataishiwa kuchovywa tu anatakiwa ajitambue atulie atapata tu
 
Tena ndo nyingi Sana mpaka ndugu Mara utaskia zaa tuu umrii umeendaa tafuta mwanaume uzae Nae unakuta uko kwenye late 20'S alafu MTU anakwambia uzae umri umeenda😞😞
Hao wanatafuta wakucheke tu usikubali alafu watu sijui wapoje πŸ˜€πŸ˜€
Rafikiyngu wakat anaolewa mm Niko chuo alikuwa mama ushauri Kila neno ndoa ndoa wee yalivomgeuka Sasa πŸ˜€πŸ˜€akaanza kuwa motivation speaker ila Dunia hii
Kilakitu na wakat wake
 
Ndio elimu unayo
kazi unayo
pesa unazo
urembo unao.
Swali fikirishi unatiwa na nani?
Ndio mtihani ulipo!!
Kwa sbb ile tundu sio ya kukojolea tu, na kukojolewa pia! Na ndipo ilipo tiba
Ukiwa na mwenzi, wala hakuna anayekuwazia hivyo.
sasa huna, unakojolewa na nani? wangapi?
 
Tufanye nikuoe sasa mke...
 
Jamani nyie viumbe! Kauli yenu hii Nina mtu, inawaponza.
 
Daktari una hoja



Unjaua mama zetu wa kiafrica ukioa au kuolewa kwa heshima anafurahia sana anapata HESHIMA.

Ila kwa binti - hayupo tayari kuolewa na MTU yeyote hasa hawa mabinti walioenda shule.

Sasa wakati binti anasubiri kupata mwanaume sahihi na kwkuwa kumpata mwanaume sahihi ni mchakato unachukua muda ndo binti anaamua kutumia defensive mechanism (kujihami) kwa kusema sipo tayari kuolewa kwa sasa.
 
Jamani wazazi wapumzisheni watoto wenu wa kike kwanini mnawalazimisha kuolewa..

Pole sana sasa uje hapa samaki samaki mlimani city tuongee zaidi tujue chankufanya..haya maisha ni kusaidiana wajameni.
 
Na wanaokwambia hivyo unakuta Wana Maisha magumu au wameshazaaa tayari wamekimbiwa
 

Wanawake wengi hawajui ni rahisi kwao kupata ndoa wakiwa wadogo. Kuliko wakiwa above 30s.

Mwanamke age ikienda kupata mume sio kazi ndogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…