Wazazi mmekuwaje?

Kumbe tayari ana wachumba wengi? Hii ni hatari sana kiroho.kuitwa mchumba na ukawa unaitika kiboya tu. kumbe unajiharibia mwenyewe
Acha kutumia mambo ya kiroho hovyohovyo!
Nionyeshe kwenye uzi niliposema nimekosa mtu wa kunioa
 
asante mnanipa hongera nyingi had naogopa wakat tumehalalisha tu kulaliana uchi na kuketa viumbe waje wasaidiane na baba yao kuchafua nguo halaf mimi nifue.
Nimekupa hongera sababu kunamtu namuona hapa ana 33 anahaha hatari Kila siku anaomba ushauri wa mwanaume mpya nikagundua ndoa ndio inamchanganya akiambiwa anapendwa tu anavurugwa anawaza huyu ndie au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eheheheh. Huu mwandiko sio wa mtu mwenye 14 years mtaani.
Kama hujamaliza mwaka huu basi wewe bado unasoma..
2010 mi niko kidato cha sita n now am 35 yrs halaf wewe useme bado sana kuolewa na mwandiko ndio huu? No way.
Haka kabinti ni kaongo sana, nilitaka nimuulize hilo swali, nikukumbk ule uzi wake wa jkt sijui mujibu , nikiunganisha dot , mh muongo mwandamizi.
 
Hii ni kweli lakini bado kuna wazazi wanasisitiza ndoa wakati watoto hatuna hata 50 mbovu
Kama mmeo mtarajiwa hawezi hata kulipia bima ya afya ya mwaka mzima ya familia yake usikubali kuolewa. Ajipange kwanza. Ndo maana mimi naonaga ni sawa kina dada kutuomba hela kipindi cha mahusiano kwa sababu inasaidia kufahamu mtu msimamo wake upande wa kiuchumi.
 
Nimekupa hongera sababu kunamtu namuona hapa ana 33 anahaha hatari Kila siku anaomba ushauri wa mwanaume mpya nikagundua ndoa ndio inamchanganya akiambiwa anapendwa tu anavurugwa anawaza huyu ndie au sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mdada yeye yupo 30s ana mtoto 1 sasa kuna siku akaambiwa kuna mtu anatafuta mke
Yule dada kila siku akawa anakuja kuulizia 'ile ishu vipi' tukimuuliza ishu gani anasema 'ya yule kaka anayetafuta mke'πŸ˜‚
 
Hii ndio point yangu!
Bora nionekane nimekataa kuolewa kuliko kuingia kwenye ndoa sina hata 50
Niende kuwasalimia wazazi nimepauka hadi wanionee huruma watamani ningebaki kwao nile ugali wa bure
 
Wazazi wanaogopa magoli yakianza kuingia kusawazisha inakuwa ngumu na soko limejaa ushindani mkaliπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna Mimi hapa ......unakuta mama ananiambia usichague chague Sana ACHA kuchaguachagua......mara mkwe anakuja lini tumuone..... Mara nataka mjukuu....akienda kwenye harusi au kitchen party atakutumia picha WhatsApp alafu atakwambia bado wewe yako lini.....
Ila baba yangu hajawahi kuniuliza hata siku moja naonaga kina mama wengi ndo Wana hii kituu....hii kitu inatuumiza Sana mabinti kusema kwelii ...kina mama mlioko humu tunaomba msiwe mnawaambia HIV mabinti zenu sababu inaumiza Sana.....SAA nyingine unakuta mtu ndo Kwanza Yuko single Wala haoni dalili...mwingine Yuko kwenye complicated relationship....vinatuuma JamaniiπŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“
 
Wengine hata kazi hatuna halafu wanataka tuolewe
 
Kabisaa mkuu tunajionea.
 
Ngoja na wewe uzae mtoto wa kike akue, sijui utamuacha mpaka 40s astill kuwa single 😊
 
Kuna mdada yeye yupo 30s ana mtoto 1 sasa kuna siku akaambiwa kuna mtu anatafuta mke
Yule dada kila siku akawa anakuja kuulizia 'ile ishu cipi' tukimuuliza ishu gani anasema 'ya yule kaka anayetafuta mke'πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hatari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…