Wazanzibari wanasubiri tamko la Maalim Seif

Wazanzibari wanasubiri tamko la Maalim Seif

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,695
Reaction score
9,580
Kuelekea mwezi tangu uchaguzi, Wazanzibari wanasubiri kwa hamu tamko la Maalim Seif linalohusu mazungumzo kati yake na Dr Shein.

Je, mazungumzo yatakwamua mkwamo wa kisiasa uliopo Zanzibar?

Nini majaliwa ya Zanzibar iwapo muafaka haujapatikana?

Muda unayoyoma, uvumilivu unafifia.
 
Sefu analilia tumbo lake tu.mpaka leo hajaongea alizungumza nini na nyerere.sefu atakaa kimya hadi uchaguzi,kwa sasa ni makamu na hajakanusha wala kujiuzulu
 
CCM Wanacheza Na Muda, So Maalim Seif Ni Vema Akachanganya Bongo zake... Akijichanganya Uchaguzi Kurudiwa Aandike Maumivu;

Akisusia Uchanguzi Aandike Maumivu Pia... So Ni Vema Akawaweka Huru Wazanzibar...Wazanzibar Walishaambiwa Nchi Haitolewi kwa Njia

ya Karatasi So Kilichobaki Ni Kukubaliana na Msimamo Huo au Kutafuta Means zingine Kama CUF Wana Nia ya Kuiongoza Zanzibar.
 
Viongozi wa CUF pamoja na wanachama wake huko Zanzibar wamepewa roho ya uvumilivu sana. Lakini CCM lazima watambue uvumilivu una mwisho wake. Maalim Seif ana busara na hekima sana.

Hivi demokrasia ni CCM kushinda tu?
 
mazungumzo hayana tija yeyote kwa maslahi ya upinzani na wazanzibari walio wengi,hizi ni strategy za ccm za wakati,kwamba wao wanaitumia strategy ya wakati, mara zote wanapo fanya ubadhilifu na kunyima haki au kuvunja sheria wazi wazi kawaida wanatumia wakati kuwalaza tena wananchi mpaka walale kisha wao wanaendelea na yao kama kawaida
 
Mbona seif hajajiuzulu umakamu wa raisi? Ukwa mwasemaje?

Seifu hajajiuzulu Makamo wa Uraisi wala hatojiuzulu kwani yeye ndie Raisi wa Zanzibar aliyechguliwa. Anayetakiwa kuachia ngazi ni Sheni ili nchi isonge mbele, mara watakaokufa watakufa wataobakia watabakia lakini lazima tutaheshimiana. Watakaokufa sio wapinzani peke yao, bali na viongozi wengi wa CCM pamoja na Familia zao, kwa Zanzibar hapana pa kukimbilia, likitokea fujo Zanzibar watakaoliwa ni wao mwanzo kwani wao ndio chanzo ya yote haya Zanzibar kwa maslahi ya binafsi
 
Ntambwe
 
Hii falsafa ya upepo tu utapita inaligharimu taifa.
 
Back
Top Bottom