Wazanzibari tokeni mkapige kura, tumeimarisha Ulinzi - JAJI LUBUVA

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
Jaji Lubuva awataka wananchi Zanzibar kuacha uogo wa kufikirika, asema ulinzi wakati wa kupiga kura ya marudio jimbo la kijitoupele umeimarishwa.

swali: je lubuva siku hizi ndo msimamia ulinzi na usalama nchi hii au ni ulevi tu wa madaraka?! yeye alipaswa kuzungumzia vifaa na maandalizi mengine yanayomuhusu
 
Ni mjinga pekee anayeweza kuanzisha uzi kama huu, serikali ya muungano ilisema haihusiki na haiwezi kuingilia uchaguzi wa znz, sababu znz ina mamlaka yake na tume yake ya uchaguzi, yeye lubuva anaongea kama nani na mamlaka kayapata wapi? au yeye anakaimu nafasi ya jecha? Inahitaji uendawazimu kuishi Afrika, na hapo ndo maneno ya Donald Trump yanapata maana.
 
Huyu Lubuva ni jipu, alipoulizwa kanuni za kufutwa uchaguzi zanzibar alisema yeye si msemaji wa ZEC leo amepata wapi ruhusa ya kuyasema haya? Mzee mnafiki huyu, kutumia vizee vilivyostaafu kwenye utendaji ni shida sana huyu hata akiharibu afe leo hajali kitu mshweeeee!
 
..wakati wanashutumiwa na wizi wa kura na kuchakachua matokeo walisema eti wao NEC uchaguzi wa zenj hauwahusu...leo eti anahamasisha watu wakapige kura...wanazidi kujionyesha wanavyoshirikiana kuhujumu uchaguzi...na wanajua wanachofanya...
 
Sijui ni kigezo gani kinatumika kuviteua hivi vibabu vinafiki ktk nafasi nyeti kama hizi hivi hakina hâta watoto wa kukishauri haka ka babu nikikaona nasiki kutapika kanafiki sana
 
Jaji Lubuva awataka wananchi Zanzibar kuacha uogo wa kufikirika, asema ulinzi wakati wa kupiga kura ya marudio jimbo la kijitoupele umeimarishwa.

swali: je lubuva siku hizi ndo msimamia ulinzi na usalama nchi hii au ni ulevi tu wa madaraka?! yeye alipaswa kuzungumzia vifaa na maandalizi mengine yanayomuhusu
Kwanza huko kijitoupele kunamhusu nini huyu babu? Si walidai ni tume mbili yofauti na haziingiliani?
 
Ni mjinga pekee anayeweza kuanzisha uzi kama huu, serikali ya muungano ilisema haihusiki na haiwezi kuingilia uchaguzi wa znz, sababu znz ina mamlaka yake na tume yake ya uchaguzi, yeye lubuva anaongea kama nani na mamlaka kayapata wapi? au yeye anakaimu nafasi ya jecha? Inahitaji uendawazimu kuishi Afrika, na hapo ndo maneno ya Donald Trump yanapata maana.
Twende taratibu mkuu. Uchaguzi anaouzungumzia Lubuva ni wa Mbunge wa JMT ambao haukufanyika Kijitoupele kutokana na makosa katika karatasi za uchaguzi wa 25/10. Huu ni uchaguzi tofauti na ule wa Jecha!
 
Ni mjinga pekee anayeweza kuanzisha uzi kama huu, serikali ya muungano ilisema haihusiki na haiwezi kuingilia uchaguzi wa znz, sababu znz ina mamlaka yake na tume yake ya uchaguzi, yeye lubuva anaongea kama nani na mamlaka kayapata wapi? au yeye anakaimu nafasi ya jecha? Inahitaji uendawazimu kuishi Afrika, na hapo ndo maneno ya Donald Trump yanapata maana.
Badala ya kumuombea magu,ni bora tukamuombea Trump aukwae uprezidaa wa usa atuokoe sisi binadamu wa bara la afrika
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huyu Lubuva ni jipu, alipoulizwa kanuni za kufutwa uchaguzi zanzibar alisema yeye si msemaji wa ZEC leo amepata wapi ruhusa ya kuyasema haya? Mzee mnafiki huyu, kutumia vizee vilivyostaafu kwenye utendaji ni shida sana huyu hata akiharibu afe leo hajali kitu mshweeeee!
Na akifa watamlilia watoto wake tu
 
Ni mjinga pekee anayeweza kuanzisha uzi kama huu, serikali ya muungano ilisema haihusiki na haiwezi kuingilia uchaguzi wa znz, sababu znz ina mamlaka yake na tume yake ya uchaguzi, yeye lubuva anaongea kama nani na mamlaka kayapata wapi? au yeye anakaimu nafasi ya jecha? Inahitaji uendawazimu kuishi Afrika, na hapo ndo maneno ya Donald Trump yanapata maana.
NI ULEVI WA MADARAKA, KIHEREHERE, NA KUJIPENDEKEZA.
 
..wakati wanashutumiwa na wizi wa kura na kuchakachua matokeo walisema eti wao NEC uchaguzi wa zenj hauwahusu...leo eti anahamasisha watu wakapige kura...wanazidi kujionyesha wanavyoshirikiana kuhujumu uchaguzi...na wanajua wanachofanya...
Ni ukweli mtupu mkuu hawa jamaa hukumu yao ni kuwaombea mabaya tu
 
Ni mjinga pekee anayeweza kuanzisha uzi kama huu, serikali ya muungano ilisema haihusiki na haiwezi kuingilia uchaguzi wa znz, sababu znz ina mamlaka yake na tume yake ya uchaguzi, yeye lubuva anaongea kama nani na mamlaka kayapata wapi? au yeye anakaimu nafasi ya jecha? Inahitaji uendawazimu kuishi Afrika, na hapo ndo maneno ya Donald Trump yanapata maana.
Usitoe povu, kuna jimbo moja uchaguzi unafanyika kesho kumchagua mbunge wa JMT
 
Atakapotoka Kwenye ulaji atakuja na mnisamehe anajua nilikuwa kwenye shinikiza kubwa la damu kiasi kwamba pressure ilishuka mno.
 
Ni mjinga pekee anayeweza kuanzisha uzi kama huu, serikali ya muungano ilisema haihusiki na haiwezi kuingilia uchaguzi wa znz, sababu znz ina mamlaka yake na tume yake ya uchaguzi, yeye lubuva anaongea kama nani na mamlaka kayapata wapi? au yeye anakaimu nafasi ya jecha? Inahitaji uendawazimu kuishi Afrika, na hapo ndo maneno ya Donald Trump yanapata maana.

....Mie nadhani kuwa anayo madaraka kwa sababu Uchaguzi wa Mbunge wa Bunge la Muungano wa Jimbo la Kijitoupele (ulokuwa umeahirishwa hapo mwanzo) Uanamhusu sana Jaji msomi Damiani (Naomba nikosolewe kama nimekosea)....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom