NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,967
Kuna WAISLAMU NA WAHIZLAMU Mkuu ukikuta katenda kinyume huyo Ni muhizlamuKuna Waislam kibao wana maskendo tu, mfano yule wa mama wa Takukuru aliyepelekwa mahakamani juzi...
Hizi ligi za Udini mkizianzisha nyie ndio mtakua losers mngekaa kama wengine walivyo tu, kusapoti mtu kutokana na character yake wala sio Dini
Km prof LipumbaWasomi waislamu wanazingatia professional ethics ni mfano wa kuigwa. Muslim professions have been side lined for far to long..Muslims must vote as a block.
kapata ulaji UN kama sikoseiAisee yule jamaa sijui yuko wapi. Alikuwa na msimamo kama Daniel na wenzake
Jecha alimaliza glass nzima ya maji ya chamaJecha nae vipi??
Hili la profesa Assadi kusimamia ethics za professional yake limedhihirisha hawa jamaa ni thabiti sio watu wakupindisha ukweli, na hawana majivuno yasioyo na msingi.
Assadi kanifanya nikumbuke uongozi wa Mwinyi na JK hahika tulienjoy sana. hawakuwa na ushamba, mihemuko, majivuno wala visasi
Hakika 2025 tunahitaji Raisi muislamu
from a Christian Member
Prof.Assad sio mzazibar ni mtu wa Korogwe-Tanga mpaka sasa ana nduguze wanaishi Buiko-Korogwe
Sent using Jamii Forums mobile app
A Shameful exception .Professa Lipumba je?!
Kila Upande Wapo!A Shameful exception .
Kuna muislam jina na muislam mcha Mungu ambaye yeye anamuogopa Mwenyezi Mungu tuProfessa Lipumba je?!
Wow!!Wasomi waislamu wanazingatia professional ethics ni mfano wa kuigwa. Muslim professions have been side lined for far to long..Muslims must vote as a block.
Acha upimbiHili la profesa Assadi kusimamia ethics za professional yake limedhihirisha hawa jamaa ni thabiti sio watu wakupindisha ukweli, na hawana majivuno yasioyo na msingi.
Assadi kanifanya nikumbuke uongozi wa Mwinyi na JK hahika tulienjoy sana. hawakuwa na ushamba, mihemuko, majivuno wala visasi
Hakika 2025 tunahitaji Raisi muislamu
from a Christian Member
Nasfini kwa Mtu mbali,halafu kwa sasa hivi ni Vigumu kutofautisha kati ya Bunge na Bakwata kwa UDHAIFU.Kuna muislam jina na muislam mcha Mungu ambaye yeye anamuogopa Mwenyezi Mungu tu