Wazanzibari mnapenda umaskini?

Wazanzibari mnapenda umaskini?

ng'adi lawi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
2,956
Reaction score
1,115
Matokeo ya uchaguzi wa rais wa Zanzibar hayajatangazwa lakini watu wote wauminifu wanakiri kuwa mgombea wa CUF alishinda. Hivi kuna hofu gani kwa Rais Shein kuwa makamu wa kwanza wa Rais katika serikali ya umoja wa kitaifa? Maalim Seif aliahidi kwenye kampeni kuwa akishinda ataifanya Zanzibar kuwa Singapore au Dubai ya East Africa. Kwa nini msimjaribu? Sote tunajua kuwa Singapore na Dubai ni miji maarufu kwa biashara na bandari zenye eneo la kuweka na kuuza bidhaa za nchi zote duniani(Free Port). Mpeni Maalim Seif hiyo miaka mitano alete wawekezaji ili tusiende tena Dubai kwa shopping. Au hamtaki kuwa matajiri?
 
Hata fisadi papa aliahidi kusomesha watu bure hadi chuo kikuu wkti jimboni kwake watu wanakosa maji
 
Hata fisadi papa aliahidi kusomesha watu bure hadi chuo kikuu wkti jimboni kwake watu wanakosa maji

Fisadi papa babaako mzazi kijijini huko, acha kumsakama mzee wa watu
 
Matokeo ya uchaguzi wa rais wa Zanzibar hayajatangazwa lakini watu wote wauminifu wanakiri kuwa mgombea wa CUF alishinda. Hivi kuna hofu gani kwa Rais Shein kuwa makamu wa kwanza wa Rais katika serikali ya umoja wa kitaifa? Maalim Seif aliahidi kwenye kampeni kuwa akishinda ataifanya Zanzibar kuwa Singapore au Dubai ya East Africa. Kwa nini msimjaribu? Sote tunajua kuwa Singapore na Dubai ni miji maarufu kwa biashara na bandari zenye eneo la kuweka na kuuza bidhaa za nchi zote duniani(Free Port). Mpeni Maalim Seif hiyo miaka mitano alete wawekezaji ili tusiende tena Dubai kwa shopping. Au hamtaki kuwa matajiri?
Mbona wamesha mjalibu... tatizo kwa watawala wanao zani wao pekee ndo wenye chapa ya kuongoza Nchi.
 
JMT Ni Tajiri Sana. Hata Magufuli akisema Elimu Bure Mpaka Chuo Kikuu- Inawezekana. Kimsingi Hakuna Bure Katika Uchumi, There Must Be Someone To Pay For.. Hata Hiyo Elimu Ya Bure, Ni Sisi Tunailipia. Inaweza Kupatikana Kupitia Collective Payment From Indirect Source. Wanaodhani Haiwezekani Watakua Sio Watafiti Wazuri.
 
Hivi ni wazanzibari ndiyo wamemyima seif kuongoza au shein amegoma kuachia madaraka kwa hiyo anatawala kidictator
 
Changia hoja acha kuleta unafiki wa lumumba hapa.

KWani ni uongo. Mleta mada anajaribu kukwambia ahadi si lazima ndio utekelezaji. Mtu anapimwa na historia yake sasa nipe fanikio moja tu aliloleta maalim Zanzibar kwenye nyadhifa yake yoyote ya nyuma!!!!
 
kwani lini maalim seif alikusanya kodi ya wananchi ndi tuanzie hapokupima historia yake na mafanikio, unafikiri kwanza au unaandika kwa vile hakuhitajiki kibali kuandika ukiamini unajib sahihi
 
Back
Top Bottom