Wazanzibar wanatuchafua Watanganyika

zanzibar sijawahi kusikia bomu limerushwa kwenye mikutano ya watu wengi na kuua watu.Kwa nini tunaongea uongo hapa na kuwakandamiza wazanzibari.Mimi sio mzanzibar lakini ukweli lazima uwe mkweli tu.Huu uzi umekosewa sana,mabomu yamerushwa Arusha mara mbili na kuua watu.Mbona hatujasema Tanzania bara inaichafua Tanzania?.au mnajua wanaofanya hivyo.Jamani CCM ndio adui yetu mkubwa sana.Na ndio Gaidi namaba one hapa Tanzania.Tuliangamize hili joka ccm kwenye uchanguzi kuanzia mwakani kwenye serikali za mitaa na 2015 uchaguzi mkuu.muulize ndugu yako kuwa amejiandikisha na ana kitambulisho.Alafu mpe elimu ampigie nani kura yake na pia arlinde kura vizuri.ccm kwa heri ya kuonana
 
Huu ndo ujinga unaonipelekea nikawa najikuta nawachukia Watanganyika. Jitu limetoka kunywa pombe huko, jitu lisilo na maadili, jitu ambalo tunalibeba ktk kila nyanja, jitu ambalo hata ukilifundisha nini halielewi labda njama za wizi, jitu ambalo tumelifungua macho na kulifunza ustaarabu, mpaka lugha tukalitengenezea, tukafkiria lishafikia mizania ya ubinaadam aaahh kumbe wapi? Mtanisamehe watanganyika wachache ambao hampindishi ukweli na ambao roho zenu ni safi.....nafahamu kwamba mupo, but hapa nayazungumzia yale majuha yanayoongozwa na hisia za kibaguzi. Yanawaza maadam wazanzibari ni waislamu tukiacha kuwafanyia hila watapiga hatua maana sisi from the beginning ni watu straight forward, hatuna longo longo sie. Na kama hamfahamu nyie watanganyika washenzi vichwa ngumu, ni kwamba uwepo wa Z'bar mmoja ktk wadau wanaounda Tz ndiko kulikoifanya angalau hii Tz ikawa haijaripuka mapema. Amini ama msiamini, km mtaamua kuiachia Z'bar leo hii bila ya kuibughudhi kwa namna yoyote ile, basi kuna mambo mawili yatatokea lazima. Kwanza: Z'bar itasonga mbele kiuchumi. Pili: Tanganyika haitavuka miaka 5 kama hamjapigana mapanga. Acheni roho mbaya........ujinga tuuu mnasoma nini nyie watu..................... I'm proud being a Zanzibari, I am proud being a muslim, Allah anipe moyo wa kumuabudu zaid kwa utiifu, aniepushe na kuwachukia watanganyika wajinga, na namuomba awazindue watoke kwenye matope ya ujinga walimozama. Nawasilisha......!!!!!!!
 
Matukio ya tindikali zanzibar na mauaji yanatuchafua pia watanganyika maana kimataifa inalipotiwa kama Tanzania ambayo 90% mataifa yanaitambua kuwa ni Tanganyika.

Wazanzibar mbadilike bwana.

Dada yangu doma akili zako umezihamishia ma------ni hivi kweli vifo vya risasi vya juzi mhadhiri na yule tajiri wa arusha tindi kali ya ssid mahonda kifo cha daudi kungolewa kucha na macho je ni vya wazanzibari
 

Kuna Mtu Mmoja tu aliyedhibitika bila shaka yoyote kwamba ni GAIDI katika Nchi yetu naye ni MZANZIBAR,MOHAMED GHAILAN.Huyu hasa ndie amechafua Taswira ya Nchi yetu.
 

Na jana tu shehe kapigwa mapanga akiswalisha mbeya
 

Heko!umemaliza kila kitu sichangii tena huu mjadala umenifilisi maneno.
 
Mauaji mengine yana taswira ya Ujambazi. Lakini ya Zanzibar ni ugaidi ndiyo maana hawakupora kitu
ndo kusema ni afadhali wanaochuna ngozi na kukata viungo vya albino kuliko wamwagia tindikali?.
 
Na jana tu shehe kapigwa mapanga akiswalisha mbeya
ukweli ni kwamba uhalifu unaotokea huku bara ni wa kutisha kuliko unaotokea zanzibar,na tatizo ni kwamba huku bara matukio ya mauaji ya kutisha yanatokea karibu kila siku.
 
Kuna Mtu Mmoja tu aliyedhibitika bila shaka yoyote kwamba ni GAIDI katika Nchi yetu naye ni MZANZIBAR,MOHAMED GHAILAN.Huyu hasa ndie amechafua Taswira ya Nchi yetu.
wanachafua taswira kwa nani?au kwa wazungu,...ajabu saudia ambayo ndo waliteketeza world trade centre taswira yao ni nzuri tu kwa haohao wazungu.

Mijitanzania inapenda sana kujikomba kwa wazungu,sijui kwanini.
 
Kila mtu akijenga heshima kwake mwenyewe nchi itakuwa Salama. Tofauti ni malezi ya kimila na kiimani na kiuchumi yanaangamiza taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…