Wazanzibar nani sasa wakumlaumu?

Wazanzibar nani sasa wakumlaumu?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,905
Reaction score
9,334
Sehemu pekee ambayo ilikuwa ni sehemu yakumaliza kilio chenu cha mda mrefu ilikuwa ni kwenye Rasmu ya Katiba kwani manung'uniko ya muda mrefu kuwa mmemezwa na Bara ni kati ya kero za Muuungano ambazo zimekuwa zikusumbua vichwa vya Wazanzibar wengi hadi kufikia kusema Mnataka mjitawale Sasa tumeona Juzi kuwa Mmepewa Mpira mmeshindwa kuucheza!
Je hapo mtamlaumu nani?
Tunategemea mtandelea kuiunga serikali ya Muungano hivyo hata ukija mchakato wa Serikali Moja tunajua tutakuwa Pamoja kwa hili!
Ila naomba muwashukuru wajumbe waliowawakilisha muendelee kuwpa sapoti 2015 katika majimboni kwani wameonyesha mlichokitaka!......................!!
Asante
 
wakumlaumu ni nyinyi waTanganyika coz sisi waZanzibar tumejitahid sn ila dola ya ccm inatumaliza laiti na nyinyi waDanganyika mngesimama kidete km sisi waZanzibar basi tungefika ila tatizo nyinyi.
 
Wamlaumu mwenzao Malimu Sief aliyelewa vimuli muli akawashau....
 
wakumlaumu ni nyinyi waTanganyika coz sisi waZanzibar tumejitahid sn ila dola ya ccm inatumaliza laiti na nyinyi waDanganyika mngesimama kidete km sisi waZanzibar basi tungefika ila tatizo nyinyi.
ni kweli sisi waDangayika ndiyo tatizo - CCM inatugeuza itakavyo kama samaki kwenye kikaangio - sijui ni lini tutajinusuru yarabi.
 
Yaani wamekubali kurubuniwa kwa maneno matamu, wamelewa, waache waje kulia tena...!nawapongeza wote waliopiga kura ya hapana!
 
''ukombozi wa TANGANYIKA utatoka ZANZIBAR na ukombozi wa ZANZIBAR Utatoka TANGANYIKA''.
SIKU watanganyika watapokuwa kama wazanzibar kisiasa siku hiyo TANZANIA itakomboka kutoka mikono ya MAFISADI NA muunngano huu UTAKUWA fahari ya WATANZANIA DAIMA

''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA'' ​NDIO AJENDA YA SIASA ZA ZANZIBAR
 
Sehemu pekee ambayo ilikuwa ni sehemu yakumaliza kilio chenu cha mda mrefu ilikuwa ni kwenye Rasmu ya Katiba kwani manung'uniko ya muda mrefu kuwa mmemezwa na Bara ni kati ya kero za Muuungano ambazo zimekuwa zikusumbua vichwa vya Wazanzibar wengi hadi kufikia kusema Mnataka mjitawale Sasa tumeona Juzi kuwa Mmepewa Mpira mmeshindwa kuucheza!
Je hapo mtamlaumu nani?
Tunategemea mtandelea kuiunga serikali ya Muungano hivyo hata ukija mchakato wa Serikali Moja tunajua tutakuwa Pamoja kwa hili!
Ila naomba muwashukuru wajumbe waliowawakilisha muendelee kuwpa sapoti 2015 katika majimboni kwani wameonyesha mlichokitaka!......................!!
Asante

wa kuwalaumu ni wajumbe wao wa upande wa cuf na baadhi wa kundi la 201 ambao bila kujijua walijiunga na ukawa na kutoka bungeni wakati kwa wingi wao walikuwa na huwezo wa kujadili na pia kupiga kura ya hapana ambapo piga ua katiba inayopendekezwa kama isingepita
 
wa kuwalaumu ni wajumbe wao wa upande wa cuf na baadhi wa kundi la 201 ambao bila kujijua walijiunga na ukawa na kutoka bungeni wakati kwa wingi wao walikuwa na huwezo wa kujadili na pia kupiga kura ya hapana ambapo piga ua katiba inayopendekezwa kama isingepita "
Kwa maneno haya hatuna wa kumlaumu. Sasa kura ya maoni ndiyo janga la mwisho.kwani inatakiwa 50% kwa Tanzania nzima . Mimi nilidhani Zanzibar 50%
Na Tanganyika 50%
Ndio katiba ipite,je ndivyo Hivyo au 50% kwa Tanzania mzima kama kura ya Raisi?
 
Sijui wa kulaumiwa.Kutawaliwa na mkoloni kabwela sheeda! Tyranny of number kitu mbaya kweli.
 
Kiukweli kero za muungano zitaendelea, na baada ya miaka michache zoezi la katiba litaanza upya.
 
Hivi unaamini kama pale walikuwepo WaZanzibari ? Kwanza nataka ukubali kuwa viongozi waote wa CCM kutoka Zanzibar wamepachikwa kama vilemba kwenye vichwa,wote wanaitegemea na kuiabudu Tume ya Uchaguzi ndio iliyowapa ushindi ,na jingine ni woga wa kushughulikiwa ,Kama uliwaona waliotoka wale ndio WaZalendo halisi wa Zanzibar.

Kama uliona Mzanzibari aliebakia na amekaa kimya na kutoa mipasho huyo kwanza mjuwe amedhaminiwa na CCM kuwepo kwenye cheo alichonacho ,si mchaguliwa na wananchi ,sasa ujue kuwa pale asilimia 99 ya waliobakia ni pumba za CCM aka vibaraka ,au ukipenda unaweza kuwaita matarishi ,hawapo pale kumuwakilisha mzanzibari wapo pale kuilinda ccm na sera zake za ubepari.
 
Kwani CCM hawawezi kuwa wazanzibar? Nini tafsiri ya mzanzibar
 
Wakuwalaumu kwangu ni
Ukawa
Cuf
Bila ya kumsahau adui wangu CCM
 
Back
Top Bottom