M michael nyalusi Member Joined Jul 19, 2013 Posts 38 Reaction score 21 Jun 1, 2014 #1 Mara nyingi nimekuwa nikisikia tetesi kuhusu serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuzurumiwa meli MV Mapinduzi, na mimi sina uhakika nalo naomba Wazanzibar mtujuze Watanganyika meli hii iko wapi?
Mara nyingi nimekuwa nikisikia tetesi kuhusu serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuzurumiwa meli MV Mapinduzi, na mimi sina uhakika nalo naomba Wazanzibar mtujuze Watanganyika meli hii iko wapi?
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,105 Reaction score 2,622 Nov 30, 2014 #2 MV Mapinduzi iliuzwa kwa kampuni binafsi. Ilizama katika bahari ya Syshels ikiwa njiani kuelekea Yemen kwa matengenezo.
MV Mapinduzi iliuzwa kwa kampuni binafsi. Ilizama katika bahari ya Syshels ikiwa njiani kuelekea Yemen kwa matengenezo.