Mkazi mmoja wa wilayani Serengeti amedai kugundua eneo lenye madini aina mbalimbali ambayo anataka kuyakabidhi serikalini ili yachimbwe kwa manufaa ya taifa. Source: ITV HABARI
Pamoja na huo mrabaha sijui mnini subiri uone kitakachomkuta. Kama hatatekwa na wasiojulikana ama kupotea katika mazingira yasiyojulikana sijui. Am 60 yrs now and I have sufficient experience ktk nji hii