Wayne Rooney

Moja ya watu walionifanya niipende MAN UTD, akitokea Everton na kufanya vizuri EURO 2004 akiwa na mabao 4 sawa na MILAN BAROS wa CZECHSLOVAKIA anatua MAN UTD na katika game yake ya kwanza ANAWEKA KAMBA 3.
LEGEND WAZZA.
Nakumbuka nami niliitwa ROONEY wakati nakichafua.
 
Huyu ni moja kati ya wachezaji wanaopambana kila iitwapo leo. Amejenga heshima yake pale epl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…