Wayne Rooney awa mfungaji wa muda wote Manchester United

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Wayne Rooney leo hii amefanikiwa kuwafungia Manchester united goli la kusawazisha dhidi ya Stoke City. Goli hilo limemfanya kufikisha idadi ya magoli 250 na kuwa mfungaji wa muda wote wa Klabu bora kabisa na yenye historia Duniani, Manchester United

Wayne Rooney pia ameweka historia ya kufunga magoli mengi (magoli 88) viwanja vya ugenini ambayo ni rekodi tokea kuanzishwa kwa premier league.

16122412_1313174692077848_3758238620431941632_n.jpg
 
Back
Top Bottom