Wayne Brigde turns his back for the England squad!

Manda

Manda

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
2,075
Likes
33
Points
145
Manda

Manda

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
2,075 33 145
Wayne Bridge turns his back on England and the World Cup over fears of 'divisive' reunion with John Terry

Wayne Bridge has pulled himself out of contention for England and the World Cup after revelations over John Terry's affair with his former partner.
In a statement released by his lawyers. Manchester City left-back Bridge said his position in the squad is 'untenable and potentially divisive' and he has decided to make himself unavailable for selection.

It leaves Fabio Capello without both his first-choice left-backs for Wednesday's friendly with Egypt, with Chelsea's Ashley Cole sidelined by a long-term injury, but more alarmingly this summer's World Cup which Bridge has confirmed he will not play in.
He said: 'Sadly, for the sake of the team and what would be inevitable distractions, I have decided not to put myself forward for selection.
'I have thought long and hard about my position in the England football team in the light of the reporting and events over the last few weeks and have today informed the management of this decision.
'I wish the team all the best in South Africa.'

The move comes after lurid details about a relationship between Bridge's former partner Vanessa Perroncel and Chelsea defender John Terry came to light last month.
Bridge played with Terry for Chelsea and England but was left shocked when he discovered his team-mate had an affair with his former partner. It occurred after Bridge's move to Manchester City just over a year ago.

BRIDGE'S STATEMENT

'I have thought long and hard about my position in the England football team in the light of the reporting and events over the last few weeks.

'It has always been an honour to play for England. However, after careful thought I believe my position in the squad is now untenable and potentially divisive.
'Sadly therefore I feel for the sake of the team and in order to avoid what will be inevitable distractions, I have decided not to put myself forward for selection.

'I have today informed the management of this decision. I wish the team all the very best in South Africa.'
 
Manda

Manda

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
2,075
Likes
33
Points
145
Manda

Manda

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
2,075 33 145
Lol!...i was taking for granted the saga, sikuwai kufikiri kuwa litakuwa na impact kiasi hiki!
Tehetehe, my dearest fellow 'men'.....mnaona ugumu wa 'mme mwenza'?, women they can, why not us?, i wish wangekuwa timu (klabu) moja tuone ka-Brigde asingechezea timu yake!
 
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
29
Points
0
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 29 0
lol, mapenzi mengine sijui yakoje!
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,436
Likes
117,316
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,436 117,316 280
Naona ukuta wa UK kuelekea kwenye World Cup bado una matatizo huyu Bridge kajiondoa na Ferdinand bado mgongo unamsumbua.
 
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Messages
12,765
Likes
1,031
Points
280
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2009
12,765 1,031 280
Watakoma, mimi sitawashabikia England na nitafurahi sana wakitolewa mapema wamezidi vijineno. Lazima wafungwe tu mapema mapema. Tena naombea huyo Rooney aumie akae bench ili Michel Owen aende kuwachezea tena na kina Beckham itakuwa mboga nzuri sana. Wacha zile metatarsal zianze kurudi.
 
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
7,958
Likes
178
Points
160
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
7,958 178 160
Lol!...i was taking for granted the saga, sikuwai kufikiri kuwa litakuwa na impact kiasi hiki!
Tehetehe, my dearest fellow 'men'.....mnaona ugumu wa 'mme mwenza'?, women they can, why not us?, i wish wangekuwa timu (klabu) moja tuone ka-Brigde asingechezea timu yake!
mkuu ingekuwa vigumu sana kwa bridge kule kuwa kambi moja na mtu aliye lala na demu wako.lazima angekuwa anajistukia .

ngumu kwa mtu yoyote yule.
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Naona ukuta wa UK kuelekea kwenye World Cup bado una matatizo huyu Bridge kajiondoa na Ferdinand bado mgongo unamsumbua.
Sioni tatizo hapo, Mathew Upson anaweza chukua nafasi ya Ferdinand, namkubali sana huyu jamaa wa Westham. Upande wa kushoto off course Ashley Cole ni chaguo la kwanza, wapo wachezaji wakuchukua nafasi ya Bridge kama Stephen Warnock, Nicky Shorey , Luke Young ama Leighton Baines.
 
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
7,958
Likes
178
Points
160
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
7,958 178 160
natoka nje ya topic.huku europa cup haya mambo marefa wa-5 wala haina maana.yani mtu kaushika mpira maksudi kufanya mshambuliaji asifunge na refa la tano liko nyuma goli pale pale lakini kajifanya hajaona.kweli FIFA kazi wanayo.ndani ya box mchezaji atlentico madrid kapiga mpira na mkono kutoa mbele ya forward ya galatasaray.
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
mkuu ingekuwa vigumu sana kwa bridge kule kuwa kambi moja na mtu aliye lala na demu wako.lazima angekuwa anajistukia .

ngumu kwa mtu yoyote yule.
Wayney Bridge is simply a coward! Huyo ni exgirl friend wameisha break long long ago...mzee nikilamba your former girl friend utamind?
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
natoka nje ya topic.huku europa cup haya mambo marefa wa-5 wala haina maana.yani mtu kaushika mpira maksudi kufanya mshambuliaji asifunge na refa la tano liko nyuma goli pale pale lakini kajifanya hajaona.kweli FIFA kazi wanayo.ndani ya box mchezaji atlentico madrid kapiga mpira na mkono kutoa mbele ya forward ya galatasaray.
Tumekuzoea mkuu ukikuwa utaacha hahahahahahaaahhh!
 
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
7,958
Likes
178
Points
160
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
7,958 178 160
Wayney Bridge is simply a coward! Huyo ni exgirl friend wameisha break long long ago...mzee nikilamba your former girl friend utamind?
siwezi ku-mind kwa vile ni former gf.tatizo hapa wayne bridge kajistukia kwamba mchizi alikuwa anachapa longtime hata wakati yeye alikuwa anamiliki mzigo.kwahio anaona noma.

ni vizuri kama angeenda kwani watu wangeona kama ame move on na issue hio sasa ataendelea kuwatosa milele au?
 
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
7,958
Likes
178
Points
160
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
7,958 178 160
Tumekuzoea mkuu ukikuwa utaacha hahahahahahaaahhh!
ha ha ha ha sawa mkuu jana ulilia hile kalou.lakini hii ninayozungumzia mimi hapa ni noma na hakuna umuhimu wa marefa wa 5 kabisa fifa wanapoteza hela yao.
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
siwezi ku-mind kwa vile ni former gf.tatizo hapa wayne bridge kajistukia kwamba mchizi alikuwa anachapa longtime hata wakati yeye alikuwa anamiliki mzigo.kwahio anaona noma.ni vizuri kama angeenda kwani watu wangeona kama ame move on na issue hio sasa ataendelea kuwatosa milele au?
Mtani kwa kweli huyo Bridge ameniboa sana sana! Mzee mimi hata uzae na my Ex I wouldnt mind at all, isitoshe yule demu mapepe kabla yake waliishapita wachizi kibao, Gudjosen, Mutu, Essien hakuna issue. Kama angeenda na kucheza world cup issue ingeisha sasa hivi itamuuma kichizi na wasela wengine wanaendele kudunya!
 
RR

RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Messages
6,799
Likes
267
Points
180
RR

RR

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2007
6,799 267 180
Wayney Bridge is simply a coward! Huyo ni exgirl friend wameisha break long long ago...mzee nikilamba your former girl friend utamind?
Mkuu mambo ya malove dave yalivyo, huwezi kufurahi kumwona buddy wako anammega (ingekua anachukua jumla afadhali) ex wako.....halafu kumbuka yule dem ni mama mtoto wa Bridge.
Hivi unajua hii yaweza kuwafanya wengine wakosa amani wakimwona JT anawakaribia madem wao.
BTW: Capelo ana matumaini jamaa atabadili msimamo
 
Manda

Manda

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
2,075
Likes
33
Points
145
Manda

Manda

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
2,075 33 145
Mkuu mambo ya malove dave yalivyo, huwezi kufurahi kumwona buddy wako anammega (ingekua anachukua jumla afadhali) ex wako.....halafu kumbuka yule dem ni mama mtoto wa Bridge.
Hivi unajua hii yaweza kuwafanya wengine wakosa amani wakimwona JT anawakaribia madem wao.
BTW: Capelo ana matumaini jamaa atabadili msimamo
Lol!, hiyo nayo point pia!
Lakini cha msingi wakubwa wat we need to take note ni kuwa mambo ya mapenzi magumu kwelikweli, na reaction ktk mapenzi ni kitu ambacho hakitabiriki siku zote, that's y haishauriwi kujiingiza sanaa ktk usuluishi wa wapenzi coz u a most likely 'kusutwa' badae.
Ww na yule mwamuona demu 'malaya tu' jamaa kumbe kafa kaoza, na kinamuuma kinomaaa yaani!, huwezi jua, alicho onjeshwa Terry, Gudjohsen, Essien, au Mutu si dogo Brgde alicho 'onja'...tehetehe!
 
RR

RR

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2007
Messages
6,799
Likes
267
Points
180
RR

RR

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2007
6,799 267 180
Lol!, hiyo nayo point pia!
Lakini cha msingi wakubwa wat we need to take note ni kuwa mambo ya mapenzi magumu kwelikweli, na reaction ktk mapenzi ni kitu ambacho hakitabiriki siku zote, that's y haishauriwi kujiingiza sanaa ktk usuluishi wa wapenzi coz u a most likely 'kusutwa' badae.
Ww na yule mwamuona demu 'malaya tu' jamaa kumbe kafa kaoza, na kinamuuma kinomaaa yaani!, huwezi jua, alicho onjeshwa Terry, Gudjohsen, Essien, au Mutu si dogo Brgde alicho 'onja'...tehetehe!
Wewe hebu jaifanye ni Ashley Cole (na migogoro yake), halafu unamwona JF anajifanya mwema kwenu, utakua na amani?
 
Jethro

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Messages
2,223
Likes
101
Points
145
Jethro

Jethro

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2009
2,223 101 145
Wana JF,

Kweli mie siwafichi kabisa huyo W.Bridge ni anaakili za kitoto siju amekumbwa na maswahibu gani.

Ila all in all nikuwa W. Bridge kwa vyovyote vile ni lazima tu ana uhusiano wa mapenzi na huyo X-gal friend wake pamoja na kuwa ameoa mwanamke mwingine, hivyo basi kimemuuma sana sasa anataka kutuletea yale mahasila ya kike ya kususa yeye anadhani ni yeye tu ndio anakula iyo shamba(x-gal friend) aache uzushi labda atuambie tu analake jambo au anataka kujenga hisia kwa waingereza wenzake kuwa J.Terry ni mbaya na hafai ni kumwalibia jina mwenzake na si mnajua media za UK ni wambea kuliko zote dunia kitu kidogo tuu wanakikuza ati.

Mbona Ashly Core anakumbana na matatizo tena ya ndoa ila anadunada kila kukicha iweje W.bridge tu hicho ki x-gal friend ndio kimwondoe kwa National Team, yani chama cha FA cha UK kimwadabishe huyo W.Bridge hana uzalendo wa kitaifa na achunguzwe anatuletea mambo yake ya nje kwa national matter eeeeeh bhooooo
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Jethro
Brigde is simply coward and selfish.....anataka kukuza jambo lisilo na maana na kudamage hopes za England world cup. Angebakia kwenye team hii kitu ingekwisha kabisa maana haina mshiko, Kesho atazomewa sana Stamford bridge. He is milking himself kwa kutafuta sympathy asiyo stahili
 
Jethro

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Messages
2,223
Likes
101
Points
145
Jethro

Jethro

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2009
2,223 101 145
Jethro
Brigde is simply coward and selfish.....anataka kukuza jambo lisilo na maana na kudamage hopes za England world cup. Angebakia kwenye team hii kitu ingekwisha kabisa maana haina mshiko, Kesho atazomewa sana Stamford bridge. He is milking himself kwa kutafuta sympathy asiyo stahili
Hapo mpwa nimekupata sana pia ila hao kajamaaa kamenikela sana, na huo u coward /ubinafsi wake na kutaka kubinafsisha kila X-gal friend alio wapitia utamfikisha pabaya sana ati. subiri tumwone anapotaka kwenda

Forum statistics

Threads 1,236,040
Members 474,950
Posts 29,244,519