Tetesi: Wawili wafa kutokana na msongo wa mawazo, baada ya kutimuliwa UDOM

kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,131
6,109
Nimepata taarifa toka kwa mmoja wa wanafunzi wale waliotimuliwa na kuitwa vilaza kuwa kuna marafiki zake wawili wamefariki dunia kutokana na mawazo ya kutokana na kukata tamaa na kutojua hatma yao. Wanafunzi hao wote walikuwa wanachukua special diploma course ya ualimu.
14ebf256fd9b714a896ca1a1b1a7d86a.jpg
 
eeeeeh so bad mi nimegombana na ndugu kisa hicho naonekana kama mie serikal mtu anatuma sms haitaji msaada mpaka anakufa .....mie nikabak kimya had hasira zao ziishe
 
Isijekuwa ni assumptions tu kuwa wamefariki kutokana na msongo wa mawazo baada ya kutimuliwa kutoka chuoni wakati sababu za kitaalamu za vifo vyao zikiwa ni tofauti. Yote kwa yote poleni sana wafiwa.
 
Mwanga wa milele uwaangazie eeh Bwana raha ya milele uwape wapumzike kwa amani
 
Nimepata taarifa toka kwa mmoja wa wanafunzi wale waliotimuliwa na kuitwa ****** kuwa kuna marafiki zake wawili wamefariki dunia kutokana na mawazo ya kutokana na kukata tamaa na kutojua hatma yao. Wanafunzi hao wote walikuwa wanachukua special diploma course ya ualimu.
14ebf256fd9b714a896ca1a1b1a7d86a.jpg


Inabidi wanasayansi wa Dunia hii wahamie TanZania kufanya utafiti, kumbe mtu unaweza kufa kwa msongo wa mawazo kwenye nchi ambayo ni kawaida kwa kijana au mtoto ufa kwa Malaria, homa, kipundu pindu, ajali, sumu, kuangukiwa na ukuta, kisukari n.k
 
Back
Top Bottom