Wawapo shuleni

jamani hawa wanafunzi watatuonesha kila kitu hapo naona paja mwingine kabana sketi inye ionekane utadhani wamesomea marketing halafu ndo wako field.
 
kweli hiki ni kizazi cha dot.com,ni mwendo wa kutafuta dushe tu hakuna kingine kwenye ubongo
 
huo mguu umekomaa ka wa RAMIRES...mchezaj wa chelsea!!!..
 
Nani kawapa cm shule hapo tutegemee div. 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…