:disapointed:Next week zimekuwa nyingi jaman kama slogan za chama tawala na serikali yake mara hali mpya, maisha bora paka sasa BRN araf zikishindwa kufanya kaz utasikia atuna maana iyo, sa ngoja tusubili iyo trh 25 olewao wazingue tunashindwa kulipa ada uku kwengine tukitegemea uko!!!!:disapointed: