Wauzaji wengi walioajiriwa katika biashara wengi wamekuwa wadokozi wa pesa wengine wanahonga wanawake hadi kupelekea hasara kwa mwenye duka. Mi naona kama mtu unauwezo wa kukaa mwenyewe kusimamia game wenye biashara wangepata hela sana.mfano mim kunakijana nilimtoa kijijini aje aniuzie duka langu lakin kanitia shoti sama kala hela kanunua sim za bei wa kwa wasichana usiseme nimemrudisha kwao nimeamua kukaa mwenyewe mana nikikuwa nimesafir