Wauzaji wa Tyre na battery za magari aina zote

Wahli Tyres Center wauzaji wa matairi Bora na imara pamoja na betri zenye warranty ya mwaka mmoja fika dukani kwetu Kariakoo mtaa wa Livingston na Tandamti ujipatie bidhaa zetu zenye ubora uliothibitishwa kimataifa bidhaa zetu zinatoka America, Asia, Europe na Africa kusini

Matairi size zote kuanzia magari madogo mpaka makubwa pia zipo tairi za mashine

Hauitaji kuja mjini piga simu uletewe popote ulipo delivery free malipo baada ya kupokea mzigo wako kama umesahau size ya tairi piga picha tutumie what's up tutakupatia ufumbuzi karibuni sana


Call SMS what's up
0757752160
0625527014
0786647452
0673900183

Tunatoa ushauri namna bora ya kutunza matairi na betri
 
nitakutafuta kwa tyre za isuzu na battery
 
USHAURI;;;;;;;;;; Wateja wanaopata huduma zenu hasa mikoani watambueni vizuri ili muwatumie kama rejea ya kupata wateja wapya kwa sababu saivi dunia imeharibika uaminifu umekuwa zero.

kwahyo mfano mteja mpya yupo Dodoma akitaka kujua uhakika wa biashara mnaweza toa mfano kwamba fulani tumemuuzia na risit hizi hapa.

HII NI KUTOKANA NA UZOEFU KWENYE BIASHARA ZA MTANDAONI....
ASANTE
 
Ahsante kwa ushauri mzuri tutaufanyia kazi
 
Habari
Naweza pata 185/16R15.Nafunga kwenye Rim size 14.Bei gani?taja na jina la gurudumu lenyewe
 
Habari
Naweza pata 185/16R15.Nafunga kwenye Rim size 14.Bei gani?taja na jina la gurudumu lenyewe
Mkuu hii size ujakosea kweli unaweza kuisoma vizuri au ipige picha tairi yenyewe kwenye zile namba halafu itume niione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…