Wauzaji wa tangawizi

Chorter

Member
Jul 8, 2017
41
68
Habari wanaJF, kutana na wasambazaji na wakulima wakubwa wa zao la TANGAWIZI kutoka rungwe- mbeya, tunajihusisha na kutoa huduma ya usambazaji wa TANGAWIZI kwa wafanya biashara kutoka seheme mbalimbali Tanzania bara, Tunatuma mzigo kiasi unachotaka kwa haraka na uhakika mkubwa, Pia tunatoa elimu na ushauri kwa vijana wanaotaman kujikwamua kiuchumi kupitia kilimo cha TANGAWIZI,
Kg moja tunauza tsh 1000, gharama za usafiri zinategemea eneo husika,
Kwa mawasiliano zaid 0782562124 whatsap 0782284770
Karibun sana!!















 

Attachments

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…