kaburu mdogo JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 567 Reaction score 400 Dec 19, 2017 #1 Tafadhali naomba msaada wa kueleweshwa kidogo,siku za karibu ni kumetokea uuzaji wa nyumba maeneo ya mbagala chamanzi,nyumba nyingi zinauzwa huko.tafadhali naomba kujua kuna shida gani,naogopa nisije kununua kumbe eneo hilo kina matatizo
Tafadhali naomba msaada wa kueleweshwa kidogo,siku za karibu ni kumetokea uuzaji wa nyumba maeneo ya mbagala chamanzi,nyumba nyingi zinauzwa huko.tafadhali naomba kujua kuna shida gani,naogopa nisije kununua kumbe eneo hilo kina matatizo