lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
jamani nimegundua watu wengi wanaoenda mlimani city wanakua hawana issue ya maana zaidi ya kwenda kuuza sura, iko hivi ukifika mlimani city utawakuta mabrazamen na masista duu kibao wanatembeatembea tu bila mpango wowote atashangaa hiki mara kile atakaa chini anapiga miayo ya njaa mara atajifanya yupo bize na kismart phone cha mchina kumbe hakina salio lolote,baada ya muda watanunua ice cream za watoto watalambalamba. wakimaliza kuuza sura wataondoka zao. wakuu mkitaka kuamini nendeni mlimani city mtawaona .jamani nendeni mlimani city mkiwa na issue za maana na sio kuuza sura tu.
Pengine wewe ndio hua huna la maana , kila mtu ana starehe yake ndgu , Usimuone mtu anatembea ukadhan ana zurura , n moja ya starehe yake , Tokea juma tatu mpk ijumaa mtu amekalisha vimakalio ofisin , Unataka na hapo akakae tena ? Jifunge kitambaa usiwaone
Pengine wewe ndio hua huna la maana , kila mtu ana starehe yake ndgu , Usimuone mtu anatembea ukadhan ana zurura , n moja ya starehe yake , Tokea juma tatu mpk ijumaa mtu amekalisha vimakalio ofisin , Unataka na hapo akakae tena ? Jifunge kitambaa usiwaone
si wanatalii bro. Hata mimi huwa napita pale kupata kiyoyozi baada ya kutembea kwa miguu kutoka ubungo mpaka mwenge so lazima nichepuke pale nipate kwa air condition kidogooo
hujui maana ya kurelax wewe
wewe ndio hukuwa na kazi manake mpaka kufuatilia yote hayo Fanya yako acha kupekua ya watu
huo sasa wivu
afu hujui wengi wa unao waona pale wanakuwa wanasubiria kuingia movie na hii mtu akifika mapema anasubiria muda wa muvi anayotakia ufike aingie. Kula ice cream ni jambo la kawaida sana wakti mtu anasubiria muvie time.
afu wewe jali yako ulokwena na fuko la kazi maalum huko, wenzio ata tu kutizama wanaopita kwao ni sehem ya mapumziko.
afu nakushangaa ivi kama ndo unakazi nyingi kama unavyojitanabahisha apa unapata wapi muda wa kutizama wengine?
simple mind hii, na wee ni mmojawapo wa wauza sura hao