Wauza smartphone tukutane hapa

Sumsung j5 tshs 160,000 piga 0625618177
 
Galaxy note 3 32gb storage,3gb Ram
Inashida ya screen tu,Ilianguka,inawaka screen ikiwa haionyeshi,inaita ikipigiwa,IPO kwenye hali nzuri

50k tu nakuachia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama unaplan ya kutaka kuinunua hii simu na pia kukupa ushauri wa vitu vya kuangalia katika hii simu.
 

Naomba mwenye hio shop kwake please anicheck naihitaji sana
 
mwenye ako na Galaxy S10+ na yuko tayari kufanya exchange (topup) na Galaxy S8+ anichek 0674781184
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…