Wauza simu

Sumsung j5 tshs 160,000 piga 0625618177
 
Wapi naweza kupata hii simu NOKIA na ni bei ganiView attachment 1225337
Popote ulipopata hio simu,
Origina seller ni mimi na ni Nokia N86 niliiuza kwa 150 kwa mwarabu flan maeneo ya ilala..

Ukiweza hio bei na ukinithibitishia utachukua nakutaftia fasta sanaa hela utanipa nikikukabdh mzigoo.

Picha zake nyingne hizi hapa

Na Pia kwa sasa nina
Nokia E63 = 90k
Asha 302 = 90k
C1 = 40k

 
Na hata uzi niliweka humuu...

Zilizobaki ni hizi hapa
E63 = 90k
Asha 302 = 90k
C1 = 40k
 
Mkuu acha kutishia hizo simu za kizamani zipo nyingi tu pale club ya simba msimbaz yupo muhindi anaduka pale zimejaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha kutishia hizo simu za kizamani zipo nyingi tu pale club ya simba msimbaz yupo muhindi anaduka pale zimejaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetishia na nini mkuuu?

Napafahamu vizuri tuuu tena zipo sehem mbili..
Na sio club simba bali ni opposite,
Ameziweka nying tuu zimejaa kweny shelf la kiooo..

Mkuu Nenda pale Kaulizie hio simu au hata hizo e63 & asha 302 km utapata kwa elf 90...

Mkuuu naaapa hapa....
Ukiipa hio simu pale kwa chini ya 150 uje na ushahidi hapa jf..
Ndio utakua mwisho wangu mm kuingia humu na hela nakupa.

Bei zao zipo juu na yule mhindi na pembeni mbongo hawabembelezi
 

Mkuu nahitaji hiyo Nokia Asha kuna 50k mfuko wa shati dili kesho asubuhi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa mjini nielekeze nitazipata wapi mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda k.koo
Ukishuka Kituo cha msimbazi B upande wa kulia pita na corrido ile ile ambapo kulia kwako ndio kuna maduka angalia kwa makini utaona maduka mawili ya wahindi wanaziuzaa....
Km hilo moja ambapo ndio zipo nyingi zinaonekana kbsa hata ukiwa unapita kwa njee..
Utamkuta mhind flan hv na mbongo....

ukweli ni kwamba bei zao zipo juu sana, ni mara mbili ya hio yanguu...

Ila mm nataka uende ili ukathibitishe hilo, nenda kesho ulete mrejesho hapa boss

Mm narudi ter 28
 

Upande wa kulia kama natokea fire au gerezani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…