Wauza nafaka tukutane hapa

Kwa wanunuzi wa mahindi mliopo arusha,
Gunia mnanunua bei gani,,
Au kilo moja mnanunua pesa ngapi
 
Wakuu nina karanga nyekundu toka kaliua bei 3000kg.

njoo whatsap tuongee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…