Upo mkoa gani na unauzaje?Nna mahindi mengi balaaa natafuta mnunuaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Km mnahitaji nyie mnichek, km nna pungufu na hitaji lenu nawakusanyia hata kwa majirani zangu tu.TUSIJEKUJA NA FUSO KUMBE UNA GUNIA 5
KUNA TANI 30
mkuu Mimi nipo tayari nipo mbezi msakuzi bei nategemea uniambie wewe na Aina za nafaka unazoweza kuleta tutaelewana tuu Hakuna shidaUtakapokuwa tayari sema location na bei zako uletewe mazao ya aina yoyote utakayoo
Upo mkoa gani?, bei kwa kilo ni kiasi gani?.Nna mahindi mengi balaaa natafuta mnunuaji
Upo mkoa gani. Naweza kuzixhukua kwa awamu3 mkuu
KUNA TANI 30