Waungwana msaada!.

Waungwana msaada!.

Wonder

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
166
Reaction score
47
Mwenzenu nahc kukata tamaa nimetafuta kaz mpk nimechoka maisha naona yananshnda niliamua kujiajir bt naona hal ndo inakuwa ngumu zaid biashara haitok n hela inazd kupukutika kwny kulipia kod,mwenye msaada wa kaz halal itakayoweza niingizia kpato ntamshukuru sn.Nna dgr ya kiswahl linguistics ht mashulen naweza ingia,asanten sn!.
 
Tatizo uchaguz mbaya wa fani!hiyo fani yako kuajiriwa ni ngum sana!labda ukaombe mashulen uwe unapiga chaki!...
 
Tatizo uchaguz mbaya wa fani!hiyo fani yako kuajiriwa ni ngum sana!labda ukaombe mashulen uwe unapiga chaki!...

mkuu kwani kupiga chaki siyo kazi? there is no redundant profession mkuu!
 
Tatizo uchaguz mbaya wa fani!hiyo fani yako kuajiriwa ni ngum sana!labda ukaombe mashulen uwe unapiga chaki!...
ht hiyo pia ni kaz dats why nkasema ht mashulen nafit,asante.
 
Back
Top Bottom