happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
- Thread starter
- #21
Ikiwa utaonesha utii kwa mtu yoyote ni lazima upendwe tu. Kinyume cha utii ni uasi na pia kumbuka uasi ndio dhambi ya kwanza kabisa iliyomwingia shetani hadi akakataa kumtii Mungu. Mungu aimpenda shetani lakini shetani hakujali kupendwa na Mungu na badala yake hakumtii Mungu.
Kwa kuliona hilo ndio maana Mungu amewatahadharisha wanaume kwa kuwaambia kuwa "Enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili" na pia maandiko hayo hayo yanasema mwanamke -------- ndio huivunja nyumba yake yeye mwenyewe.
Hayo ni sawa kabisa. Tukirudi kwenye topik upendo huanza na utii utafuata.