Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Kilichonifanya nijiulize maswali ni mambo na ukatili unaotaka kumtokea kijana huyu.
'
Huyu kijana ni mwanafunzi wa SAUTI,anaishi nyumbani kwao,yaani kwa baba yake na mama yake.
'
Jirani na anapoishi kuna mama ambae anamtaka huyu kijana kimapenzi,lakini kijana amekua akikataa.
'
Tatizo linakuja baada ya mume wa mama yule kuambiwa kuwa kijana yule "anatembea" na mkewe.
'
Mume badala ya kuhoji na kujua nini ni nini,amemfuata kijana yule na kumwambia atamfanya kitu ambacho hatasahau kwa "kutembea" na mkewe.
'
Kijana amechanganyikiwa.
'
Ninachotaka kuwauliza hawa wake za watu na waume ya watu ni kuwa hawajijui?
'
Kuna vijana wa kike na kiume wamejikuta wakiingizwa kwenye matatizo na hawa wake na waume za watu.
'
Unapomshawishi kijana wa kik au wa kiume na kumuingiza kwenye mahusiano haramu,unajua unachokifanya?
'
Kuna vijana wengi wamejikuta wamehama miji kwa sababu hii.Na hawa wenza nao wanaposikia mume au mke anangonoka na kijana au binti fulani huenda kuwaadhibu hawa vijana bila kujiuliza kama binti au kijana huyo ana uwezo wa kumtongoza mume au mke wako.
'
Hawa vijana wamekua wahanga wa hawa wake na waume za watu wasiokua na staha.
'
Adhabu kama vipigo,kuswekwa rumande,kumwagiwa maji ya moto n.k zimekua zikiwapata sana wakati wao ndo unakuta walilazimishwa kuingia kwenye uhusiano huo.
'
Hebu wahurumieni!