Wauaji wa Jamal Khashoggi wahukumiwa miaka 5 jela

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
360x-1.jpg

Mahakama imesema kuwa hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuthibitisha uhusika wa viongozi wawili wa juu wa Serikali ya Saudi Arabia

Hapo awali Mwana wa Mfalme wa Saudia, Mohammed bin Salman alikuwa akituhumiwa kuhusika na mauaji ya Mwanahabari huyo

Jamal Kashoggi alitoweka mwaka jana baada ya kuingia ndani ya Ubalozi wa Saudi Arabia uliopo nchini Uturuki

Khashoggi alijipatia umaarufu kwa kuandika habari kuhusu maovu ya Utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia

=======

A Saudi court sentenced five people to death for the murder of government critic Jamal Khashoggi but ruled that last year’s assassination wasn’t premeditated and said it didn’t have enough evidence to incriminate two top officials close to Crown Prince Mohammed bin Salman.

The verdict, read out by the public prosecutor on Monday in Riyadh, is unlikely to mute criticism in the U.S. against the kingdom and Prince Mohammed for the murder of the Washington Post columnist by government agents in Istanbul.

While Prince Mohammed has repeatedly denied sanctioning the killing, U.S. lawmakers and CIA analysts concluded it couldn’t have taken place without his knowledge. The accusations focused on two of his key aides, royal court adviser Saud al-Qahtani and top intelligence official Ahmed Alassiri.

But Deputy Attorney General Shalaan Shalaan said authorities questioned Qahtani, who was removed from his position by King Salman and sanctioned by the U.S. after the killing, and didn’t find enough evidence against him. Ahmed Alassiri, a top intelligence official also removed from his position, was found not guilty by the court.

The sentencing probably won’t “turn off the fires that started after the Khashoggi issue in the U.S. Congress,” said Ayham Kamel, head of Middle East and North Africa research at Eurasia Group, a consultancy.

Bloomberg
 
Yaani nimerudi na kurudia kusoma lakini sijaona sehemu imeandikwa miaka mitano jela.
 
Omba mods wakubadilishie heading

Wauaji hawajahukumiwa miaka mitano bali wauwaji watano wamehukumiwa kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiwezekani kuwa MBS hakuhusika.

Mwandishi high profile kama Khashogi hawezi tu kuuliwa kwenye ubalozi wenu bila uongozi wa juu kabisa kufahamu au kushiriki.

MBS has blood on his hands.
 
Mahakama imesema kuwa hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuthibitisha uhusika wa viongozi wawili wa juu wa Serikali ya Saudi Arabia

Hapo awali Mwana wa Mfalme wa Saudia, Mohammed bin Salman alikuwa akituhumiwa kuhusika na mauaji ya Mwanahabari huyo

Jamal Kashoggi alitoweka mwaka jana baada ya kuingia ndani ya Ubalozi wa Saudi Arabia uliopo nchini Uturuki

Khashoggi alijipatia umaarufu kwa kuandika habari kuhusu maovu ya Utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia

=======

A Saudi court sentenced five people to death for the murder of government critic Jamal Khashoggi but ruled that last year’s assassination wasn’t premeditated and said it didn’t have enough evidence to incriminate two top officials close to Crown Prince Mohammed bin Salman.

The verdict, read out by the public prosecutor on Monday in Riyadh, is unlikely to mute criticism in the U.S. against the kingdom and Prince Mohammed for the murder of the Washington Post columnist by government agents in Istanbul.

While Prince Mohammed has repeatedly denied sanctioning the killing, U.S. lawmakers and CIA analysts concluded it couldn’t have taken place without his knowledge. The accusations focused on two of his key aides, royal court adviser Saud al-Qahtani and top intelligence official Ahmed Alassiri.

But Deputy Attorney General Shalaan Shalaan said authorities questioned Qahtani, who was removed from his position by King Salman and sanctioned by the U.S. after the killing, and didn’t find enough evidence against him. Ahmed Alassiri, a top intelligence official also removed from his position, was found not guilty by the court.

The sentencing probably won’t “turn off the fires that started after the Khashoggi issue in the U.S. Congress,” said Ayham Kamel, head of Middle East and North Africa research at Eurasia Group, a consultancy.

Bloomberg
Watano wamehukumiwa kunyongwa isipokuwa majina yao yahajawekwa hadharani ...
 
Yaani nimerudi na kurudia kusoma lakini sijaona sehemu imeandikwa miaka mitano jela.
Human error kwa mleta post ...watano ndo waliohukumiwa kunyongwa ... halafu kuna wengine wawili wamehukumiwa miaka ya kifungo cha miaka kadhaa ..
 
Back
Top Bottom