Watz Twatia Huruma..: Mtakatifu Mkono ameguswa na maombolezo

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,176
675
Amakweli, imefikia hatua watz tunatia imani..Ndiyo,tunatia huruma. Tunahitaji neema ya kina Rostam,Mkono,Lowasa kutuhurumia.. Yaani kwa ufupi ni kama yatima fulani.. Yule wakili mwizi, wakiri wa mafisadi, mtengeneza madili, tajiri mwenza wa tapeli RA,EL, yule mshirika wa kukwiba mafweza BoT,leo anatuonea imani watz,? Yaani kuiba waibe wao,kutapeli watapeli wao, mali na Fedha,na rasilimali za watz, Leo baada ya kubwabwaja kwingi kwa kina kubenea,tanzania daima,JF,mashirika ya kijamii yenye nia njeama,CDM, wote wenye uchungu na umasikiniwa nchi yetu yenye utajiri tele, leo anaibuka shujaa wa kututtetea? Ama kweli vya MLEVI HULIWA NA MGEMA!
 
mkuu.... mimi sikuzote napenda masikitiko yako tu.... na ndio yanayofanya thread yako iwe na mvuto...... matukio na data ni zilelzile zilizopo humu JF lakini unatumia ka utundu fulani ka kuingiza masikitiko .... alafu unazua hoja ....kula thnks yangu tena
 
ujue nina hasira mno ndugu yangu Bluetooth!.. Yaan tunageuzwa,tunageuka,tunageuzwa,tunageuka,mithili ya mchoma mishikaki anavyofanya..It z nonsense! Leo yule Nimrod Mkono unayemfaham weye,anaibuka shujaa,eti atakusidia wewe na serikali yako ? Teh teh teh.. Haya bana,nami nakugongea kasenks
 
back to the fact...mkono anataka kujipatia umaarufu wa taaluma na biashara yake ya sheria kwani ameshaona wanaharakati wa sheria wameshalivalia njuga hili..... kwani mkono alikuwa wapi siku zote...? na kwa nini atoe option za kupunguza kidogo

hiyo dowans hakuna cha kupunguza deni...haitakiwi kulipwa
 
nahisi mafisadi eti wameamua kupunguza kiasi cha kutuibia,hatumtaki mkono katika harakati zetu,akae huko musoma tu,naamini katika wapambanaji kama kubenea,tanzania daima na JF and wanaharakati tutaifanya dowans isilipwe....
 
Back
Top Bottom