WaTz tuamke tuwe kama waKenya, tutaibiwa hadi lini?

Kipapatiro

JF-Expert Member
May 18, 2017
1,055
2,000
Haya ndo mambo ambayo watawala wamekuwa wakiyufanyia walalahoi hata hapa Tanzania. Mf. Rada, Kivuko kibovu, manunuzi ya bomber-died (kumbuka moja ipo karakana ni mbovu) na ujenzi wa Chato. Yaani ni ufisadi ufusadi. Na yote ni kwa vile chama dola kipo madarajani mda mrefu sasa.
The truth hurts.
 
Attachments

Raphello

Senior Member
Mar 20, 2017
162
250
Tatizo hatujielewi kama bado tumelala, tutaamkaje sasa. Na ukiamka bado hujui uelekee wapi, ndo matokeo yake kuandamana tu kumpongeza. Mtapongezaga wakati wa kampen hapa kazi tu.
 
KILWA KWETU

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
249
250
Haya ndo mambo ambayo watawala wamekuwa wakiyufanyia walalahoi hata hapa Tanzania. Mf. Rada, Kivuko kibovu, manunuzi ya bomber-died (kumbuka moja ipo karakana ni mbovu) na ujenzi wa Chato. Yaani ni ufisadi ufusadi. Na yote ni kwa vile chama dola kipo madarajani mda mrefu sasa.
The truth hurts.
Watanzia ni wajinga sana kuwamka ni kudra za alituumba tu ccm iliona mbali kuwanyima elimu hawa vilaza ndiomaana jana babu alitupiga ngumi tukalia asubuhi mtoto wa babu alisema ngumi aliyowapigeni baba haikuwa sahihi ila mimi nitawapa nessi wa kuwatibu watu wehu wanafuraiya wachache wanyeakili wanamuuliza hivi ness na kutibu wapi na wapi?kwa nini usitupe Docter?basi aneyesema hatuitaji ness anaitwa mchochezi na kapewa Rushwa anayesema anamtaka ness anaitwa mzalendo kwa uhai wa wanyonge???hahaha familia ile ile ya ccm wanatubadilishia majina ya wacheza ngoma tu huku ccm ikijitekenya na kucheka yenyewe.
 
Komeo

JF-Expert Member
May 3, 2011
2,475
1,500
Hata Kenya naskia "wamepigwa" kwenye standard gauge railway. Ukifuatilia mijadala yao wanadai bei imekuwa kubwa sana kwa bei ya treni ya dizeli.
 
Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,590
2,000
Kenya si wazembe kama kama WATZ bana

Sisi tumepigwa kiasi gani
Madini
Radar
Gesi
Bandari
Escrow
Iptl
Dowan
Twiga
Mbuga za wanyama na vitalu
Mafuta
Hayo machache tu
KENYA wana nini au rasilimali gani walizopigwa kulinganisha na tz
 
Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,203
2,000
Haya ndo mambo ambayo watawala wamekuwa wakiyufanyia walalahoi hata hapa Tanzania. Mf. Rada, Kivuko kibovu, manunuzi ya bomber-died (kumbuka moja ipo karakana ni mbovu) na ujenzi wa Chato. Yaani ni ufisadi ufusadi. Na yote ni kwa vile chama dola kipo madarajani mda mrefu sasa.
The truth hurts.
Akili yako brother ina UVIMBE, nikwasababu Mama yako alijamba badala ya kukuzaa.
 
mputa

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
1,079
2,000
Watanzia ni wajinga sana kuwamka ni kudra za alituumba tu ccm iliona mbali kuwanyima elimu hawa vilaza ndiomaana jana babu alitupiga ngumi tukalia asubuhi mtoto wa babu alisema ngumi aliyowapigeni baba haikuwa sahihi ila mimi nitawapa nessi wa kuwatibu watu wehu wanafuraiya wachache wanyeakili wanamuuliza hivi ness na kutibu wapi na wapi?kwa nini usitupe Docter?basi aneyesema hatuitaji ness anaitwa mchochezi na kapewa Rushwa anayesema anamtaka ness anaitwa mzalendo kwa uhai wa wanyonge???hahaha familia ile ile ya ccm wanatubadilishia majina ya wacheza ngoma tu huku ccm ikijitekenya na kucheka yenyewe.
Hapo kwenye nyekundu, nimekutafutia tusi nimekosa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom