my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
ndio niko kwenye ukuaji. kwan vipi?Hujakua tu bado.?
Mkuu wako vuzuri sana, Mimi kuna moja naangalia now inaitwa Ezel, in nzuri sana, yaani sana, ni full mapenzi, usaliti, visasi.Sijawahi kuwatch movies au series za kituruki lakin jana wakat na tembea hko netflix nimekutana na tamthilia ya kituruki inaitwa Winter Sun nilifanya kuangalia kama kujaribu kuangalia lakn nimeipenda wameigiza vizuri sana na storyline yke nzuri nimeipenda ina kla kitu mapenzi usaliti drama action kila ktu . Sikuwah kuwaza nchi kama uturuki wanaweza kutengeneza ktu km hiki wamejitahidi sana sikutegemea na male main character ni mu handsome [emoji14]
Hii ya kipuuzi tamthilia ndefu kama nini hadi inapoteza mwelekeo, wasouth wako vizuri kitu Isindigo the need yaani ile ni noma sanaMkuu wako vuzuri sana, Mimi kuna moja naangalia now inaitwa Ezel, in nzuri sana, yaani sana, ni full mapenzi, usaliti, visasi.
Ngoja nitaicheck na hiyo
Nchi za wezetu wanajitahidi sana kwenye hii industry wako vizuri. naweza nikaipata wapi hii? youtube iko?Mi nilishangaa wa Egypt kumbe wako vizuri pia kwenye tamthilia kuna inaitwa CRITICAL MOMENTS
Nakumbuka sana thread zako, vipi lakini chuo mnafungua linindio niko kwenye ukuaji. kwan vipi?
Nikimalizia hii nitamuangalia na hii ezel nimeona nayo iko netflix. wako vizuri sanaMkuu wako vuzuri sana, Mimi kuna moja naangalia now inaitwa Ezel, in nzuri sana, yaani sana, ni full mapenzi, usaliti, visasi.
Ngoja nitaicheck na hiyo
Hii isidingo wakat niko mdogo mama yangu alikuwa anaifuatilia mpk ameacha kuifuatilia bado haijaisha tu inaendelea 😂Hii ya kipuuzi tamthilia ndefu kama nini hadi inapoteza mwelekeo, wasouth wako vizuri kitu Isindigo the need yaani ile ni noma sana
Mkuu hii Netflix nawezaje kuitumia?? Naona matangazo, nipe a,b,c za kujiunga na kuitumia, seems wako vizuriNikimalizia hii nitamuangalia na hii ezel nimeona nayo iko netflix. wako vizuri sana
Chuo naanza next year Mungu akipenda.Nakumbuka sana thread zako, vipi lakini chuo mnafungua lini
Angalia mwenyewe kuhadithiwa sio nzuri.nipe no yako ukanihadithie whatsapp
iko mingi.Migegedo ipo mkuu?
Hurrem ni nani?Hurrem yupo?
Isindigo ni soap opera haina mwisho labda waamue kuisitishaHii isidingo wakat niko mdogo mama yangu alikuwa anaifuatilia mpk ameacha kuifuatilia bado haijaisha tu inaendelea 😂