gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Hapa nazungumzia wale ndugu zangu waliozoea kuishi kwa ujanja ujanja.
Ukifuatilia kwa makini mwenendo wa hoja nyingi zinazotolewa mitandaoni kwa sasa kuna viashiria vya comment nyingi kuonesha kutokubaliana na utendaji wa rais.
Lakini kimtizamo hili ni kundi la wadai haki zaidi pasipo kutimiza wajibu wao,ni kundi la wapenda posho za vikao huku wakilipwa mishahara,ni kundi la wafanyia vikao vya bodi kwenye mahoteli na nje ya nchi wakati serikali ina kumbi zake.
Tunajua kwa sasa hakuna tena ulaji usio wa haki na hiki ndicho chanzo cha baadhi ya watu kutokubaliana na kasi ya rais.
Tunajua kwa sasa Tanzania ina kigogo mmoja tu Dr. Magufuli na si kama mwanzo wizi wa pesa za serikali ulisababisha kuwe na vigogo kibao.
Hii ndio Tanzania tunayoitaka ni vema Rais akatiwa moyo.
Kwa sasa nchi yetu ilipofikia inahitaji aina fulani ya rais mwenye kutumia mabavu ili isonge mbele.