Watumishi waliofoji vyeti, Afisa utendaji wa wilaya amrudisha kazini aliyefoji cheti

Huyo co hewa, naona anaelekea kwenye utumishi VACUUM sasa...

Nchi ya mwendokasi hii., hangaika upate ugali wa watoto , ukiwafuatilia sana utaumiza kichwa tu..
 
Yaani post yako ya kwanza tuu ni ya aina hii? Tabia hizi peleka fb hapa sio jukwaa la kujiunga kwa ajili ya majungu. Ebo!
 
Acha wivu inaonekana nawe ni Dereva umekosa nafasi unakuja kupiga majungu, wabongo bwana embu kaa pembeni jipange upya
 
Wakati serikali ikihangaika kuwabaini watumishi walioingia kazini kwa kuforge vyeti, inashangaza kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani amembaini mtumishi Nasibu Amir Makungu dereva ktk Halmashauri ya Kaliua na kuagiza afikishwe mahakamani ila baada ya kukamatwa hakuna kinachoendelea, na amerudishwa kazini na anaendelea kulipwa mshahara, na anayemtetea ni AFISA Utumishi wa Wilaya bwana Rajabu Maganga kwa kuwa ndo alimuajiri, hivi tunaposema watumishi hewa, huyu sio hewa kweli? Na why anaendelea kulipwa?
Acha upuuzi,wewe.Unataka atoke uchukue wewe hiyo kazi?Post kama hizi hapa si mahala pake.
 
Dereva na vyeti wapi na wapi muache jamaa apige mzigo ! Hivi unamjua Philip Muluhgo ?
 
Back
Top Bottom