Tatizo lako UNAUMWA SIASA. Usidhani ni vizuri kukejeri watu wanaolia, ambao wanaishi kwa jasho lao....hata hiyo laki tatu inatosha kuna watu wanalipwa laki na nusu na maisha yanaenda na wana familia punguzeni anasa

Mbona unaongea kama unakunya? Faili la wapi halionekani?Kazi hamfanyi,kila siku faili halionekani na hakuna anaejali,halafu mnataka nyongeza!badilikeni
Kuongeza makato in kuharakisha Pesa zirudi ili wengine wasome, hiyo 8% mlidhani sadaka,hakuna aliewahi kuuliza mbona sikatwi,
Dawa ya deni ni kulipa. Siku zote kukopa ni harusi kulipa mkopo ni matanga.
Ushauri wangu kwako na wenzako: kachukue mkopo mwingine benki ya biashara, halafu kalipe mkopo wote uliosomea kwa mkupuo mmoja na kubaki na kiasi ambacho utakizalisha kwa kufanya ujasiriamali baada ya saa zako za kazi ya serikali. Utaweza rejesha mkopo wa benki bila matatizo kwa faida utakayopata kwenye huo ujasiria mali. Dhamana ya mkopo benki ni hiyo salary slip yako ya serikali.
Hivyo acha kulalama. Shukuru serikali imekusomesha na imekupa kazi serikalini. Sasa chapa kazi, rudisha mkopo hata kwa mkupuo mmoja ili na vijana wengine waweze nao kupatiwa mkopo wa masomo. Acha kulalama, tumia Akili yako kujipanga. Kumbuka bila huo mkopo hungalisoma maana wazazi wako ni maskini. Shukuru serikali inayoongozwa na ccm kwani hungefika hapo ulipo. Hungeweza hata kupata hiyo laki 5 kwa mwezi unayopokea baada ya makato ya deni la masomo. Sana sana ungekuwa unapata elfu 30 kwa mwezi kwa kufanya kazi za unachinga.
Acha kabisa kukufuru. Hizo laki 5 unazopata kila mwezi uwe unapeleka angalao laki 1 kwa wazazi wako masikini huko kijijini kwenu ili nao waondokane na umaskini. Acha kutumia hela hiyo kwa anasa. Lengo kuu la mikopo hiyo ni kuondoa umasikini kwenye familia masikini za Watanzania kwa kuwasomeshea watoto wao ili waje waondoe umasikini kwenye hizo familia. Halafu hayo makato si indefinate, ni ya muda mchache tu.
Serikali haina hela ya kutosha kwa ajili ya mikopo hiyo15% itasaidia kuongeza kiwango cha mikopoUnajua kuna vitu ktk maisha lazima ujiulize. Tangu rais achukue ofisi ya inchi ana hasira na wafanyakazi. Je tutamwelewaje wakati kuna vitu ni vya kawaida ktk utumishi wa umma mfano stahiki za watumishi ni jambo la msingi sana kuliko kitu kingine mana ndo matumaini yao. Lakini mkuu wa nchi anaona hakuna haja ya kuwapa.
Pili alizingua akijitetea na uhakiki wa watumishi hewa wakasubiri wakavumilia lakini inaonekakana habari hiyo imekuwa story ya zamani
Tatu ikaja ya uhakiki wa vyeti bado watumishi wakaona isiwe tabu lakini habari mwisho wake sijajua imefikia wapi lakini inaonekana imemshinda mana wakubwa wote ni magumashi.
Kubwa ni la mwezi huu wa pili kukata 15% kwa ajili ya wanufaika wa bodi ya mkopo. Hatukatai kulipa deni shida ni kwa nini iwe 15% badala 8%? Hapo ndipo tatizo lilipo lazima watu wajue kwa wazalendo hatukatai kulipa deni la mkopo. Kwanini anatukomoa watumishi? Na kama anataka tanzania ya viwanda na yenye neema ataipata kwa namna hii?
Wakati tunaomba mkopo makubaliano ilikuwa nikipata kazi nikatwe 8% kwa nin aongeze mpaka 15%? kwa hiyo unaona hasira yake kwa watumishi tunajiuliza tumemkosea nini?
Mwisho nchi inajengwa na watumishi wenye ari ya kufanya kazi kwa uwezo wao wote, akili yao yote, na nguvu zao zote. Sikitiko kubwa ni kwamba Rais ana hasira na watumishi wa umma tunajiuliza je malengo yake atafanikiwa kwa kuwa na watumishi ambao hawana raha na furaha moyoni mwao.
Hii post ni kwa wazalendo kweli kweli future ya tanzania imo katika kuhamasishana kupeana moyo, na kifatijiana huku tukikusanya nguvu zetu kwa ajili ya taifa.
Karibuni wadau
Unalia nini Kwani lazima ufanye kazi serikalini, tafuta kwingine. Kama mshahara wako unalipwa hayo makando kando si lazima yawepo. Unaposaini mkataba wa kazi hakikisha unakupa mshahara wa kukutosha bila kutegemea makando kando.Unajua kuna vitu ktk maisha lazima ujiulize. Tangu rais achukue ofisi ya inchi ana hasira na wafanyakazi. Je tutamwelewaje wakati kuna vitu ni vya kawaida ktk utumishi wa umma mfano stahiki za watumishi ni jambo la msingi sana kuliko kitu kingine mana ndo matumaini yao. Lakini mkuu wa nchi anaona hakuna haja ya kuwapa.
Pili alizingua akijitetea na uhakiki wa watumishi hewa wakasubiri wakavumilia lakini inaonekakana habari hiyo imekuwa story ya zamani
Tatu ikaja ya uhakiki wa vyeti bado watumishi wakaona isiwe tabu lakini habari mwisho wake sijajua imefikia wapi lakini inaonekana imemshinda mana wakubwa wote ni magumashi.
Kubwa ni la mwezi huu wa pili kukata 15% kwa ajili ya wanufaika wa bodi ya mkopo. Hatukatai kulipa deni shida ni kwa nini iwe 15% badala 8%? Hapo ndipo tatizo lilipo lazima watu wajue kwa wazalendo hatukatai kulipa deni la mkopo. Kwanini anatukomoa watumishi? Na kama anataka tanzania ya viwanda na yenye neema ataipata kwa namna hii?
Wakati tunaomba mkopo makubaliano ilikuwa nikipata kazi nikatwe 8% kwa nin aongeze mpaka 15%? kwa hiyo unaona hasira yake kwa watumishi tunajiuliza tumemkosea nini?
Mwisho nchi inajengwa na watumishi wenye ari ya kufanya kazi kwa uwezo wao wote, akili yao yote, na nguvu zao zote. Sikitiko kubwa ni kwamba Rais ana hasira na watumishi wa umma tunajiuliza je malengo yake atafanikiwa kwa kuwa na watumishi ambao hawana raha na furaha moyoni mwao.
Hii post ni kwa wazalendo kweli kweli future ya tanzania imo katika kuhamasishana kupeana moyo, na kifatijiana huku tukikusanya nguvu zetu kwa ajili ya taifa.
Karibuni wadau
Pumba.Dawa ya deni ni kulipa. Siku zote kukopa ni harusi kulipa mkopo ni matanga.
Ushauri wangu kwako na wenzako: kachukue mkopo mwingine benki ya biashara, halafu kalipe mkopo wote uliosomea kwa mkupuo mmoja na kubaki na kiasi ambacho utakizalisha kwa kufanya ujasiriamali baada ya saa zako za kazi ya serikali. Utaweza rejesha mkopo wa benki bila matatizo kwa faida utakayopata kwenye huo ujasiria mali. Dhamana ya mkopo benki ni hiyo salary slip yako ya serikali.
Hivyo acha kulalama. Shukuru serikali imekusomesha na imekupa kazi serikalini. Sasa chapa kazi, rudisha mkopo hata kwa mkupuo mmoja ili na vijana wengine waweze nao kupatiwa mkopo wa masomo. Acha kulalama, tumia Akili yako kujipanga. Kumbuka bila huo mkopo hungalisoma maana wazazi wako ni maskini. Shukuru serikali inayoongozwa na ccm kwani hungefika hapo ulipo. Hungeweza hata kupata hiyo laki 5 kwa mwezi unayopokea baada ya makato ya deni la masomo. Sana sana ungekuwa unapata elfu 30 kwa mwezi kwa kufanya kazi za unachinga.
Acha kabisa kukufuru. Hizo laki 5 unazopata kila mwezi uwe unapeleka angalao laki 1 kwa wazazi wako masikini huko kijijini kwenu ili nao waondokane na umaskini. Acha kutumia hela hiyo kwa anasa. Lengo kuu la mikopo hiyo ni kuondoa umasikini kwenye familia masikini za Watanzania kwa kuwasomeshea watoto wao ili waje waondoe umasikini kwenye hizo familia. Halafu hayo makato si indefinate, ni ya muda mchache tu.
Acha kulalama, tumia Akili yako kujipanga. Kumbuka bila huo mkopo hungalisoma maana wazazi wako ni maskini. Shukuru serikali inayoongozwa na ccm kwani hungefika hapo ulipo. Hungeweza hata kupata hiyo laki 5 kwa mwezi unayopokea baada ya makato ya deni la masomo. Sana sana ungekuwa unapata elfu 30 kwa mwezi kwa kufanya kazi za unachinga.
Nanyie mmezidi, Wakati mnakopeshwa mlikuwaga mnambwebwe sana, yaani kidogo mmeshaandamana na nyimbo zenu za kukariri, Sasa kulipa ndio mnaonashida, hebu lipeni huko wadogo zetu wapate mikopo.Acheni kulalamika ovyo.Unajua kuna vitu ktk maisha lazima ujiulize. Tangu rais achukue ofisi ya inchi ana hasira na wafanyakazi. Je tutamwelewaje wakati kuna vitu ni vya kawaida ktk utumishi wa umma mfano stahiki za watumishi ni jambo la msingi sana kuliko kitu kingine mana ndo matumaini yao. Lakini mkuu wa nchi anaona hakuna haja ya kuwapa.
Pili alizingua akijitetea na uhakiki wa watumishi hewa wakasubiri wakavumilia lakini inaonekakana habari hiyo imekuwa story ya zamani
Tatu ikaja ya uhakiki wa vyeti bado watumishi wakaona isiwe tabu lakini habari mwisho wake sijajua imefikia wapi lakini inaonekana imemshinda mana wakubwa wote ni magumashi.
Kubwa ni la mwezi huu wa pili kukata 15% kwa ajili ya wanufaika wa bodi ya mkopo. Hatukatai kulipa deni shida ni kwa nini iwe 15% badala 8%? Hapo ndipo tatizo lilipo lazima watu wajue kwa wazalendo hatukatai kulipa deni la mkopo. Kwanini anatukomoa watumishi? Na kama anataka tanzania ya viwanda na yenye neema ataipata kwa namna hii?
Wakati tunaomba mkopo makubaliano ilikuwa nikipata kazi nikatwe 8% kwa nin aongeze mpaka 15%? kwa hiyo unaona hasira yake kwa watumishi tunajiuliza tumemkosea nini?
Mwisho nchi inajengwa na watumishi wenye ari ya kufanya kazi kwa uwezo wao wote, akili yao yote, na nguvu zao zote. Sikitiko kubwa ni kwamba Rais ana hasira na watumishi wa umma tunajiuliza je malengo yake atafanikiwa kwa kuwa na watumishi ambao hawana raha na furaha moyoni mwao.
Hii post ni kwa wazalendo kweli kweli future ya tanzania imo katika kuhamasishana kupeana moyo, na kifatijiana huku tukikusanya nguvu zetu kwa ajili ya taifa.
Karibuni wadau
Dawa ya deni ni kulipa kanuni hiyo ianze kwa serikali ilipe madeni ya watumishi wake kwanza ili mfano huo uigwe kwa watumishi inawezekana hupendi kufikiri nje ya box lkn jaribu kuangalia uwiano huo jaribu pia kuangalia watumishi hawa wamekubali kuvumilia kusitishwa kwa nyongeza zote nk.na hoja hapa ni kulipa stahiki za watumishi wote ambazo zilikwisha pitishwa mf.Uhamisho,kulipwa kulingana na vyeo vyao nk.Dawa ya deni ni kulipa. Siku zote kukopa ni harusi kulipa mkopo ni matanga.
Ushauri wangu kwako na wenzako: kachukue mkopo mwingine benki ya biashara, halafu kalipe mkopo wote uliosomea kwa mkupuo mmoja na kubaki na kiasi ambacho utakizalisha kwa kufanya ujasiriamali baada ya saa zako za kazi ya serikali. Utaweza rejesha mkopo wa benki bila matatizo kwa faida utakayopata kwenye huo ujasiria mali. Dhamana ya mkopo benki ni hiyo salary slip yako ya serikali.
Hivyo acha kulalama. Shukuru serikali imekusomesha na imekupa kazi serikalini. Sasa chapa kazi, rudisha mkopo hata kwa mkupuo mmoja ili na vijana wengine waweze nao kupatiwa mkopo wa masomo. Acha kulalama, tumia Akili yako kujipanga. Kumbuka bila huo mkopo hungalisoma maana wazazi wako ni maskini. Shukuru serikali inayoongozwa na ccm kwani hungefika hapo ulipo. Hungeweza hata kupata hiyo laki 5 kwa mwezi unayopokea baada ya makato ya deni la masomo. Sana sana ungekuwa unapata elfu 30 kwa mwezi kwa kufanya kazi za unachinga.
Acha kabisa kukufuru. Hizo laki 5 unazopata kila mwezi uwe unapeleka angalao laki 1 kwa wazazi wako masikini huko kijijini kwenu ili nao waondokane na umaskini. Acha kutumia hela hiyo kwa anasa. Lengo kuu la mikopo hiyo ni kuondoa umasikini kwenye familia masikini za Watanzania kwa kuwasomeshea watoto wao ili waje waondoe umasikini kwenye hizo familia. Halafu hayo makato si indefinate, ni ya muda mchache tu.
mkuu nili wataadharisha sana humu ndani, kuwa hii hakiki hakiki isiyo isha ina malengo zaidi ya hayo yanayo semwa!!!!, nilipost humu kwa uwazi kabisa kuwa huu uhakiki usio isha una lengo lililo jifiicha nalo ni KUKANDAMIZA HAKI NA MASLAHI YA WATUMISHI KWA KIPINDI KISICHO JULIKANA!!!!!!!!!. Uhuni huu wa serikali ulikuwa wazi kuwa uta dhiiri kwa kipindi kifupi kijacho kwani dalili zilionekana mubashara, mfano watumishi waliombwa nyaraka zinazo fanana kila wanapo hakikiwa, jambo lililo ibuwa maswali 1) nini wanacho taka kukibaini ambacho hakikubainika kwenye wasilisho lilop pita? - mwenye kudadisi kidogo alijuwa kuwa wana buy time, je wata buy time hadi lini? -jibu sahihi ilikuwa kuwapa mda ambao umeanza kuongea. kiashiria cha 2 kuwa serikali ilikuwa ajenda nyengine ya siri iliyo fichama kwenye uhakiki ni kushushwa madaraja na mishahara kwa baadhi ya watumishi, hata wenye sifa za kustahili kupanda.Naipenda sana tanzania mkuu ila jamaa anakatisha tamaa sio kwamba mimi sina tatizo na mshahara wangu sina mkopo unatosha wengine wenzangu wanasikitika sana na kulaani mno
mnatesekaje wakati mna vitambi?Kwani huyu mkuu ni mchoyo hivi.Najua yeye pale nyumba nyeupe maisha burudani sana ila kwanini anafurahi wananchi wake wateseke?
pumbamkuu nili wataadharisha sana humu ndani, kuwa hii hakiki hakiki isiyo isha ina malengo zaidi ya hayo yanayo semwa!!!!, nilipost humu kwa uwazi kabisa kuwa huu uhakiki usio isha una lengo lililo jifiicha nalo ni KUKANDAMIZA HAKI NA MASLAHI YA WATUMISHI KWA KIPINDI KISICHO JULIKANA!!!!!!!!!. Uhuni huu wa serikali ulikuwa wazi kuwa uta dhiiri kwa kipindi kifupi kijacho kwani dalili zilionekana mubashara, mfano watumishi waliombwa nyaraka zinazo fanana kila wanapo hakikiwa, jambo lililo ibuwa maswali 1) nini wanacho taka kukibaini ambacho hakikubainika kwenye wasilisho lilop pita? - mwenye kudadisi kidogo alijuwa kuwa wana buy time, je wata buy time hadi lini? -jibu sahihi ilikuwa kuwapa mda ambao umeanza kuongea. kiashiria cha 2 kuwa serikali ilikuwa ajenda nyengine ya siri iliyo fichama kwenye uhakiki ni kushushwa madaraja na mishahara kwa baadhi ya watumishi, hata wenye sifa za kustahili kupanda.
Mkuu dalili zipowazi kuwa hata waziri mwenye dhamana naye hajui kinacho endelea baada ya kudanganya mara kadhaa kuhusu ukomo wa uhakiki maana naye hajuwi. lakini pia ndugu maganjwa natofautiana na jinsi unavo omba huruma za magufuli kukomesha "uhuni" wa serikali yake dhidi ya watumishi wake, je asipo asipo iona hiyo huruma itakuwaje?. Hivi hakuna njia sahihi za kupinga haya yanayo fanywa na serikali dhidi ya watumishi wake? kama zipo zitumieni!!!!! vinginevyo mkae kimyaaa
Mwisho kabisa ni kushauri tu kuwa kama bado una sifa penya penya uingie jeshini (jw,polisi au magereza) kule promosheni zipo, na huyo unaye taka awaonee huruma kaamuwa kushikamana nao kwa karibu sana na hajafanya hivyo kwa bahati mbaya bali wata mfaa kutuliza hali pale anapo amua kusigina haki za wale wasiona kazi za kushika bunduki, kama anavyo sigina haki zenu sasa hivi ..................(mkileta fyokofyoko.........., mbona jeshi halichezewi kama polisi?..........nataka polisi waogopwe kama wanajeshi...........nk, nk...)
mkuu huwezi kuelewa, jipe muda tu utaelewa.pumba
Sii kila mtu anaweza kufanya kila kitu hii nchi inaongozwa na sheria zenye kujali haki na masilahi ya raia, kwa maana hiyo sioni shida kuona mtumishi au raia yeyeto kudai haki yake. Kiongozi bora ni yule anayeongoza nchi kwa mujibu wa sheria na sii vinginevyo. Tuache ushabiki au kuwa wajinga kiasi cha kushindwa kutanabahi wapi tulipo toka, tulipo na tuendapo.
Ulipokuwa unasoma ulikuwa unataka huo mkopo. Asilimia 15% ndio mapovu yote haya. Dawa ya deni ni kulipa na kulimaliza, hii mikopo wengi walikuwa wanapiga danadana. Wacheni longolongo, nchi haiendeshwi kwa mabua.
Sizonje anakusanya pesa zinaenda kutengeneza chattle mpya!! This is shit menAnakusanya pesa kwa kasi atengeneze viwanda
Vumilieni soon mtaishi kama malaika