Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Jumanne ijayo, Disemba 25 ,2018 ni sikukuu ya Krismasi. Wiki moja baadae ni Mwaka Mpya 2019. Hapo panaambatana na ada za watoto na makorokoro mengine lukuki. Kodi sitaki kuizungumzia sana, maana kila mtu ana ratiba yake ya kulipa kodi.
Mshahara ukitoka Disemba 20 , 2018 kwa vifijo na shangwe za kutosha toka kwa wenzetu watumishi wa umma (hasa wanaotegemea mshahara).
Sasahivi watu wengi mifuko imetoboka, hawana kitu tena na mbele yao 'issues kibao'.
Yajayo yanafurahisha , uko tayari ?
SWALI LA KIZUSHI:
Kwanini watumishi wa umma hutegemea mshahara tu ? Kwanini waoga wa kujiongeza ?
KaziNaBata#