Watumishi wa serikali amkeni sasa

Watumishi wa serikali amkeni sasa

chakati

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
27
Reaction score
6
Kwa takribani miezi mitatu sasa mishahara imekuwa ikichelewa kuingia kwa ile tarehe iliyozoeleka,yaani tarehe 25,lakini kwa mwezi huu,imezidi,hadi leo tarehe sita watu hawajalipwa mishahara yao ya mwezi wa tano,na si waziri wa utumishi wala katabu mkuu kiongozi aliyetoa taarifa kwanini hali hii imetokea,au hata kuomba msamaha kwa watumishi.Kwahali hii tutegemee nini sisi ambao tunaenda kuhudumiwa na watumishi hao?na nyinyi watumishi mmekaa kimya,ina maana mnaishije au mnathubitisha kuwa mnapokea rushwa?

ANGALIZO:Serikali jarini watumishi wenu kwa kuwalipa mishahara yao kwa wakati.
 
idara gani? Mi wkt nasubiria ya june! Uko mkoa gn kwni?
 
Daah mimi mshahara wa may umeisha,wewe bado kupata.pole sana...
 
Back
Top Bottom