mwangalizi
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 842
- 512
Hakuna wakumfunga paka kengele kilichobaki tuzitumie kengele kama zana katika nyimbo za mapambio.Mkuu, hata wao Wana roho na familia zinawategemea...teh
Kugaragazwa wagaragazwe kwa halali, si tatizo. Faulu ya wazi wazi ndiyo inanifanya niwatafute watumishi. Umesha jiuliza chanzo cha vikundi vya kigaidi/waasi? Au unaongozwa na tumbo tu?!Baada ya kugaragazwa vibaya mno mnaanza kukumbuka kuna watumishi wa Mungu. Tulieni dawa iingie vizuri, lazima muone aruweruwe.
Tunarudi kwenye enzi za UNAJUA MIMI NANI?Tunakwenda kufungwa midomo,hakutakuwa na mtumishi wa Mungu,wala cha nani,ngoja tukasome namba
Duh! Kweli ndugu umegusa mada pana sana.Nafikiria kuacha kutoa sadaka kanisani na kuanza kutoa sadaka yangu kwa CHADEMA.
Hao wanaojiita watumishi wa Mungu wengi wao wameamua kukaa meza moja na watesi wetu wakinywa mvinyo na raha zote
Ni kweli, basi mwenye mtazamo huo abaki kuwa kiongozi wa diniMkuu, hata wao Wana roho na familia zinawategemea...teh
Hasira Ni KubwaNchi imefula
kuna Haja gani kuita uchaguzi ambao huja kutuumiza na kutuachia Chuki, makovu na Matatizo makubwa namna hii.???