pauli jm
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 391
- 278
Sio jambo geni masikioni kwa wengi kusikia,mtu kabadilishiwa maiti ya nduguyake nakupewa ya mtu mwingine kabisa habari hizi hutokea sana sijui nikwanini kwakweli na leo imetokea Muhimbili.
Kumetokea mkanganyiko katika chumba chakuhifadhia maiti cha hospitali ya Taifa Muhimbili.Ambapo bibi Janeti Theodori ambae alifariki dunia tarehe 8 ya mwezi huu mwili wake ulichukuliwa kimakosa na kupelekwa kuzikwa Upareni mkoani Kilimanjaro. Kwa jina la Amina huku familia yake ikiwa haijui.
#ITV habari