Watumishi TFS Manyara walitakiwa wawe nyuma ya nondo. Waligundua hatari wakakaa kimya hadi maafa yametokea

Tafakari vizuri kazi ya kichwa sio kuandika andika hovyo.
Kukiwa na dalili ya volcano mlima kilimanjaro tusiwaambie kwa sababu hawatatoka?
Pumbavu kabisa.
 
Tafakari vizuri kazi ya kichwa sio kuandika andika hovyo.
Kukiwa na dalili ya volcano mlima kilimanjaro tusiwaambie kwa sababu hawatatoka?
Pumbavu kabisa.
Povu la nini sasa. Kilimanjaro kwenyewe kuna dalili za mlipuko.

Mwaka huu mwanzoni paligundulika majani kuungua maaneo ya Rombo.

Media zimeandika, ila kwa kuwa watu hawajali basi wanaendelea na shughuli as if hamna jambo.
 
Rombo watafiti si walisema ni jambo la kawaida hakutakuwa na madhara yoyote.
 
Serikali ilitakiwa ipeleke magreda Kwa ajili ya kuondoa vifusi na Tope , Cha ajabu wananchi ndio wameamua kwenda na majembe baada ya kukosa msaada serikalini,

Helkopta badala zifanye shughuli zao za uwokozi,zenyewe ni kubeba tu viongozi, ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ni ๐Ÿšฎ
 
Dah kumbe weka basi text mdau alisemaje? Kama ni kweli basi ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa wawajibike
 
Ulidhani umejificha?!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ