Watumishi hewa 111 wagundulika Mkoa wa Kilimanjaro

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,500
3,481
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadick asema wamebaini watumishi hewa 111 kati ya 20,964 mkoani humo.
 
Je na akaunti zao ni hewa?
Check number zao hewa pia?
Tunataka tuwaone kwa majina na wasifu,hatutaki tarakimu kwa maana tunaweza kuja kupewa tarakimu hewa pia.
 
Back
Top Bottom