Watumiaji we Xiaomi njooni mnipe msaada hapa

Mimi natumia Xiaomi Mi 6x nashangaa tuu yenyewe saivi haidetect earphones au kusoma kwenye Pc! shida itakua ni nini jamanišŸ˜­šŸ˜­
 
Jaribu kutafuta latest version ya hio Google account manager toka source nyengine, na play service na framework Nyengine kwenye link umeshaweka?
Mkuu kama unaweza kunisaidia nitashukuru sana maana mimi sio mtaalamu sana kwenye hayo mambo.
 
Hio olay service na framework niliziweka kama walivokua wanataka kwenye link.
 
Mkuu kama unaweza kunisaidia nitashukuru sana maana mimi sio mtaalamu sana kwenye hayo mambo.
Angalia na hapa

Kuna mambo mawili hapo nimeyaona ambayo pengine hujayafanya
-kuipa permission zote google play services.
-service framework kuifanya ifanye kazi unapo washa simu.

Kufanya hayo mambo nenda setting kisha apps tafuta app husika utaona hizo options za permission.
 
Mkuu nimejaribu kufanya kila kitu nimeshindwa lakini naomba unisaidie link ninayoweza kudownload google na gmail apk file nijaribu na huko kama itawezekana.
 
Apk mirror Mkuu

Pia zipo Google app installer nyengine apk mirror si mbaya ukizijaribu pia

Wakuu Mimi natumia redmi note 9, naomba kuelekezwa Hindi ya kupiga picha itokee na focus,. Yaan ile picha inafocus kwenye kitu kimoja inaignore vingine
 
Angalia kwenye camera yako neno bokeh ama portrait mode chagua hio mode, kisha elekeza simu kwenye kitu unachotaka kupiga gusa kwenye kioo cha simu hicho kitu itafocus na kublur pembeni.
 
watumiaji wa xiaomi nina redmin 9T nimedownload update hapo juu kwa kutumia computer nataka nifanye installation kwenye simu hii
nataka nijue kama haita leta matatizo. mwenye uzoefu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom