Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 682
Ingia Android market kuna Bible moja hivi (Bible.is), unapata na Audio yake,yaani unaweza kusoma sambamba na kusikiliza,au ukafungulia Ikaendelea kushusha Gombo kwa kimombo saafi kabisa. Pia ina Video za Genesis,na maisha ya Jesus Christ. Its the best of the best.
Samahani kwa udini wangu katika Technlogy.
Samahani kwa udini wangu katika Technlogy.