Watumiaji wa Iphone mambo ya kufahamu

Watumiaji wa Iphone mambo ya kufahamu

Zande

Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7
Reaction score
1
Njia kumi za kutunza chaji katika simu yako kudumu muda mrefu
 
Punguza brightness kwenye simu

2. Zima WiFi / Bluetooth / Data pale unakuwa huitumii

3. Tumia vibration pale inapohitajika.

4. Tumia Airplane Mode ukiwa sehemu isiyo na network reception

5. Funga applications ambazo huzitumii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom