SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
ni nini hiyo.................
Na wewe ni memba?miraa a.k.a gomba a.k.a shamba a.k.a mirungi a.k.a kipandishia handasi..........umeelewa au niendeleeee?
Huyo mbebaji ange kam zis wei ningefurahi kweli. SHERRIF ARPAIO
Dayyyymmmn.
nikikamata kangeta nitakustua mkuu..............
Na wewe ni memba?
Fasta basi. Lol
usijali , huwa unashushia na coca cola au pombe kali?
mimi nitakuja na Grants au Smirnoff au Gordon..........
Smirnoff na tonic. Story haziishagi. Hii makitu bwana ina raha yake. Unasikilizaga nini ukisaga?
Mi napenda flashback. Ukipata kampani nzuri utatamani u pause mda. Lols. Christmas nilisaga balaaaaasafi sana,,,,,,
hapo kidogo tumetofautiana na wenzangu wao wanapenda kusaga huku wanasikiliza indian songs mara nyingi..........
lakini mimi napenda ile kitu naitupia huku nipo pub au kind ya music kama club ,,,,, songs mbalimbali zikichezwa huku story zinapamba moto......
acha kabisaaaaaaa.........
Mi napenda flashback. Ukipata kampani nzuri utatamani u pause mda. Lols. Christmas nilisaga balaaaaa
Mi napenda flashback. Ukipata kampani nzuri utatamani u pause mda. Lols. Christmas nilisaga balaaaaa
Mkuu mimi bila Bhalo pembeni sioni raha!
lol! usinikumbushe habari ya Christmas , mimi ilikuwa boxing day dogo aliniletea rumbesa 3 za kangeta kutoka
Arusha.........
was hell of a fun , tungi kuanzia asubuhi mpaka alfajiri ya another day + usiku kuchanja kwa kwenda mbele............
ila niliumwa mwili mzima like kama siku 3 hata sababu sikujua , kwa kifupi nilipotea hasaa....
Hahaaaa. KK na wewe member?? Lols. Nilikuwa na cd yake nikamuazima mtu haikurudi. Umenikumbusha mbaliiii.
Mkuu mimi bila Bhalo pembeni sioni raha!
Kula ujana mwanangu. Lols.