Watumia usafiri wa .............

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Tabia za watu kugombania siti kwenye daladala, leo ime mtokea mtu puani, baada ya mtu kushuka katika gari, ndipo kijana mmoja akanisukuma pembeni aiwai ile siti, kitendo cha yeye tu kutaka kukaa akaona maungo ya mwanaume(sehemu za siri za kiume) zikiwa zime simama (erection ) ahahah.... Tunaotumia huu usafiri tuweni na nidhamu kidogo wandugu.
Copy:
 
We noahism unataka kuniambia hizo sehemu za siri ziliwekwa na nani hapo ktk siti?
 
Last edited by a moderator:
Ila sio hayo tu pia kabla ya kukaa kwenye siti tue tunaangalia tunapo kaa pia tunapo nyanyuka ndio fundisho la ka story ngangu, mie jana nimeokota laki 3 wakati nataka kukaa kwenye siti zikiwa kwa pochi kwenye wasi nitafute bure
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Duuuuuuu!
 
Ila sio hayo tu pia kabla ya kukaa kwenye siti tue tunaangalia tunapo kaa pia tunapo nyanyuka ndio fundisho la ka story ngangu, mie jana nimeokota laki 3 wakati nataka kukaa kwenye siti zikiwa kwa pochi kwenye wasi nitafute bure

Tugawane basi, huenda ukaokota nyingine.
 
Hueleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…