Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,359 Reaction score 111,653 Jan 3, 2014 #21 TUKUTUKU said: Hii ni zawadi nzuri sana! Click to expand... watu8 juu ya TUKUTUKU Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 3, 2014 #22 Mbona wapo 9 hawa?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,359 Reaction score 111,653 Jan 3, 2014 #23 Tyta said: kwenye avatar yake inaelekea uyo dogo alizama kwenye kisado... Click to expand... Mkuu asili ya picha hiyo ni tukio la kweli lilitokea huko Uchinani na pikipiki ilipakia watu nane... Kwenye kisado hakukuwa na mtoto mdogo, huyo dogo alifanya kuongezewa na watu wafanyao image manipulation ili kunogesha uhondo wa picha... Ukicheck kwa uzuri avatar yangu bila shaka utang'amua kuwa hakuna mtoto mdogo kwa kisado...
Tyta said: kwenye avatar yake inaelekea uyo dogo alizama kwenye kisado... Click to expand... Mkuu asili ya picha hiyo ni tukio la kweli lilitokea huko Uchinani na pikipiki ilipakia watu nane... Kwenye kisado hakukuwa na mtoto mdogo, huyo dogo alifanya kuongezewa na watu wafanyao image manipulation ili kunogesha uhondo wa picha... Ukicheck kwa uzuri avatar yangu bila shaka utang'amua kuwa hakuna mtoto mdogo kwa kisado...
Kozo Okamoto JF-Expert Member Joined Oct 14, 2013 Posts 3,391 Reaction score 1,546 Jan 3, 2014 #24 mbona wako tisa?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,359 Reaction score 111,653 Jan 3, 2014 #25 Mkuu picha zote mbili nazitumia, moja ni kama avatar na nyingine ipo kama profile photo.... Tyta said: watu8-zawadi yako ya mwaka mpya..ukijisikia kubadilisha avatar usipate tabu 2014-kiafrika zaidi Click to expand...
Mkuu picha zote mbili nazitumia, moja ni kama avatar na nyingine ipo kama profile photo.... Tyta said: watu8-zawadi yako ya mwaka mpya..ukijisikia kubadilisha avatar usipate tabu 2014-kiafrika zaidi Click to expand...
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jan 3, 2014 #26 Amavubi said: kwa katiba mpya huyo wa kwenye kisado hahesabiki Click to expand... tehe teheee,sifa zake zitakuwa hazijakamilika
Amavubi said: kwa katiba mpya huyo wa kwenye kisado hahesabiki Click to expand... tehe teheee,sifa zake zitakuwa hazijakamilika
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,842 Jan 3, 2014 #27 Hahahahaha...teh teh watu8 said: watu8 juu ya TUKUTUKU Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,842 Jan 3, 2014 #28 Kumbe kweli wapo nane
Jacob Mchapwaya Member Joined Dec 22, 2013 Posts 80 Reaction score 37 Jan 3, 2014 #29 yan full shangwe
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 3, 2014 #30 Chocs said: Kumbe kweli wapo nane Click to expand... Me nimeona 9
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,842 Jan 3, 2014 #31 utafiti said: Me nimeona 9 Click to expand... Really?! Ngoja nihesabu tena
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,048 Jan 3, 2014 #32 watu8 said: watu8 juu ya TUKUTUKU Click to expand... Duh!Ni kweli kabisa mkuu!
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 3, 2014 #33 Mbona wanarudi wamesahau nini? Attachments 1388749420628.jpg 60.8 KB · Views: 64