Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,743
- 22,452
Maafisa wa Magharibi mwa Nigeria wanasema watu zaidi ya hamsini wameuwawa katika shambulio lililotokea katika kambi ya watu waliokimbia makazi yao katika jimbo la Borno. Wanawake wawili walirusha bomu, na watatu alikamatwa na polisi.
Zaidi ya watu milioni mbili wamelazimika kuyakimbia makaazi yao kutokana na mashambulio ya kushtukiza katika kipindi cha miaka sita iliyopita kulikosababisha na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.
Chanzo: BBC